Mh. Wenje umenitukania baba yangu

Mh. Wenje umenitukania baba yangu

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.

Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.

Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
 
Bribe Definition

dictionary.search.yahoo.com
n. noun

  • Something, such as money or a favor, offered or given to a person in a position of trust to influence that person's views or conduct.
  • Something serving to influence or persuade.

Zingatia kwamba huenda mtu akatoa Rushwa lakini anayepokea ile Rushwa asiipokee kwa madhumuni ya kubadilisha kauli yake yeye akachukulia ni kama Ukarimu wakati anayetoa yeye akafanya hivyo ili kupata favor

By the way sisemi kilichotokea ni Rushwa au sio Rushwa au Wenje asingeweza kutumia maneno yaleyale kwa ustaarabu na kutokuwaudhi watu..., Just Stating the Facts

Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi

Kumbe baba yako ni miongoni mwa wanaoloitia taifa hili hasara?? Tena Wenje katumia lugha laini sana maana mie wote nimewaona vilaza watupu!!
 
Baba ako tena? Kwani akiwa baba anakosa sifa za kupokea rushwa? Vingapi ambavyo baba ako anafanya na hujui? We unayofanya yote watoto wako wanajua?

Mambo mengine huhitaji kumsemea mtu, we mtu mzima bwana mwache mzee ale rushwa
 
Logic ya Mh. Wenje iko wazi kabisa, kwamba hawa watu wanaoenda kula chakula cha pamoja na kufanya mazungumzo na waheshimiwa siku ya kupiga kura ya wazi wataweza kupiga kura kwa dhamira yao hasa au maamuzi yao yatachochewa na ule ukarimu wa waheshimiwa walio wakilimia misosi na zawadi mbalimbali na kupiga kura kufuata mwelekeo wao
 
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi

Baba yako ni hasara kabisa, msosi tu anaingia kingi
 
lazima wahongwe sasa serekali 2 zitapatikana vipi? na kura ya waz wafuasi watatoka wapi kama wasipopewa kitu.kidogo? rushwa sio utajiri mla rushwa waweza kumpa laki akaona kama ni milioni maana hajaitolea jasho na hakuitegemea..
 
Kumbe baba yako ni miongoni mwa wanaoloitia taifa hili hasara?? Tena Wenje katumia lugha laini sana maana mie wote nimewaona vilaza watupu!!

Baba yangu namtambua vyema ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ktk nchi hii.
Siamini kama chukula chaweza kumfanya abadili misimamo yake.
 
akili yako sijui ikoje kama ya babako iko ki-kuhongwa hongwa,
tulitarajia wahongwe wamama kwani wana historia ya mafungamano na "hongo" au babako ni miongoni wa wanaopigania ile sheria ya "kukimbizana" ihalalishwe.
 
Laani ktendo baba yako kuchukua rushwa ya ubwabwa, big up Wenje....

Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
 
Wana jamvi inabidi wakati mwingine tutumie akili angalau kidogo, mh wenje alisema kunabaadhi ya wajumbe wamepewa rushwa ya vyakula, vinywaji na hata bahasha na anaushahidi.
 
Baba yangu namtambua vyema ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ktk nchi hii.
Siamini kama chukula chaweza kumfanya abadili misimamo yake.

Sasa waliowapa chakula wamekubali kula ubwabwa baba yako atakataa nini mwambie aache kutumiwa kwa njaa zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom