Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Habari wakuu wa jukwaa polen na majukumu ya hapa na pale weekend ya leo iko njema kabisa ivi huyu wazir mkuu msitafu ndugu sumaye pesa zote alizotuibia sisi wananchi walala hoi alizipeleka wapi mbona leo katoa zawadi ndogo sana huko shinyanga sement mia moja tu hata kutoa na mabati hakuna jaman huyu wazir mkuu msitafu hata aibu hana sasa hiyo mifuko mia watagawanaje hao wahanga siku nyingine awe anaona aibu