mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 224
ahaaaaaaa kimei yuko pale pale kumbe
Nahama bank...
huuu ni upuuuzi kabisaaa!!!!!! khaaaaaaaa!!!!!!!
Siamini kama kuna benki makini ikamchagua mkurugenzi kwa staili hiyo. Huyu atakuwa amechakuliwa ama kuwa mwenyekiti wa wanahisa au mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ingawa hili la pili pia sio rahisi kuchaguliwa kwa staili hiyo. Mtoa thread atakuwa hakuwa makini katika kujua ukweli hebu afuatilie tena upya ili ku-edit hiyo thread na kuja na kitu sahihi. Hata Sumaye mwenyewe hawezi leo akawania kuwa kurugenzi wa benki CRDB, ni kujishushia hadhi kwake yeye na si mtaalamu wa maswala ya fedha.

Sio upuuzi tuheshimu maamuzi ya shareholders, hiyo ndio demokrasia
Siamini kama kuna benki makini ikamchagua mkurugenzi kwa staili hiyo. Huyu atakuwa amechakuliwa ama kuwa mwenyekiti wa wanahisa au mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ingawa hili la pili pia sio rahisi kuchaguliwa kwa staili hiyo. Mtoa thread atakuwa hakuwa makini katika kujua ukweli hebu afuatilie tena upya ili ku-edit hiyo thread na kuja na kitu sahihi. Hata Sumaye mwenyewe hawezi leo akawania kuwa kurugenzi wa benki CRDB, ni kujishushia hadhi kwake yeye na si mtaalamu wa maswala ya fedha.
Benki ya CRDB leo hii ilikuwa inafanya mkutano wake mkuu wa 16 huku Arusha katika ukumbi wa AICC. Katika kikao hicho, Mh. Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye alikuwa anagombea ukurungezi wa benki hiyo, ambapo wanahisa walimchagua kwa kwa asilimia 60%.
Tunakupongeza Sumaye kwa kuchaguliwa kwako, sasa chapa kazi na usiingize siasa katika benki.
Amechaguliwa kutokana na uwingi wa hisa alizonazo hasa wakati alipotorosha zile 10 Trioni Tzs kupitia benk hiyo. Kimei ni Fisadi, amesaidia mafisadi wengi kupitisha fedha za wizi katika benk yake. Siipendi kweli, ninampango wa kuhamisha hata akaunti ya Asasi yangu.
Mkuu, hiyo Avata yako haitakiwi humu. Ni makosa kumvalisha Dr Slaa nguo za mafisadi huku yeye ni mpinga mafisadi. Mvue nguo hiyo.

Slaa nae pia fisadi. Kwani kwa kujibu wa kamusi sahihi ya kiswahili na wewe fuatilia utakuta maana ya fisadi ni mtu anae chukua wake za watu. Sasa hapo yeye atakosa kuwa fisadi kiivipi ?