Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
bajet imepita au haikupita?
nyie kalieni ugaidi sisi tunaogoza nchi nchi na kusimamia/kutekeleza
ilani ya chama .bungen hakuna maandamano
Kaka,
Kwa taharifa ya Marando kwenye vyombo vya habari na jinsi magazeti ya TD yalivyopotea mtaani leo, lakini pamoja na thread juu ya ripoti ya Marando yenye simu za watu kupotea hapa JF, imedhihirika kuwa MAGAIDI NI CCM hapa nchini.