Mh.Spika Mimi naunga hoja Mkono 100%, Lakini kule..

Ninachoshangaa hapa ni kwamba wana CCM wanaingia kwa mbwembwe,wanaisifu serikali yao kwa mambo ya hovyo halafu wanailamu sana kwa kushindwa au kuharibu mambo muhimu kwa uhai wa taifa na watu wake.Mengi ni mabaya kuliko wanayosea upinzani.Kwanini sasa wasimame,na kwaniniw asiseme wazi kwamba CCM ni failure.
 
hivi wanategemea sasa serikali iwape walichoshindwa miaka yote hiyo,hawana hela...hawana muda na hawana tena uhakika wa kurudi.
 
Hawajamaa naona kama wana piga hadisi tu, I wish October could be tomorrow!!. Tired with dis bla,bla bla za magamba.
 
Wajinga waache waendelee kuibeba ccm mwisho wao umeshakaribia.
 
Haah haa kuna mbunge analalamika kuwa majibu wanajibiwa UKAWA wao wanaosifia wanaachwa
 
Kuna mtu anaongea usenge hapa sijawahi kuona...
 
Ninachoshangaa hapa ni kwamba wana CCM wanaingia kwa mbwembwe,wanaisifu serikali yao kwa mambo ya hovyo halafu wanailamu sana kwa kushindwa au kuharibu mambo muhimu kwa uhai wa taifa na watu wake.Mengi ni mabaya kuliko wanayosea upinzani.Kwanini sasa wasimame,na kwaniniw asiseme wazi kwamba CCM ni failure.
Hawa jamaa nadhani ni 'confused minds', hawasemi wanachomaanisha wala hawamainishi wanayosema!
 
huwa napata shida waelewa maccm wanabisha ili iwe nini?Mara nyingi huwa nashindwa unganisha Wayasemayo na wayatendayo au hata wanayosema dkk moja na wanayosema dkk ingine.Km vile wamepoteza dira ktk akili nini wanasimamia.
 
Sijajua sasa wanawakilisha Serikali au Wananchi,

Utasikia naipongeza sana serikali yangu ya CCM kwa kuturetea maendeleo katika uongozi wake, mbele anaanza kuleta vilio kibao kutoka kwa wananchi wake, oooooooooooo Umeme, Maji, Dawa, Barabara na huduma nyingi mbovu kwanini Serikali haiwasaidii Wananchi, sasa unajiuliza Serikali aliyo isifia ni ipi? na anyoililia ni ipi.

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yan ukisikiliza michango ya wabunge wa Ccm ni kichefuchefu kitupu
 
Sijajua sasa wanawakilisha Serikali au Wananchi,

Utasikia naipongeza sana serikali yangu ya CCM kwa kuturetea maendeleo katika uongozi wake, mbele anaanza kuleta vilio kibao kutoka kwa wananchi wake, oooooooooooo Umeme, Maji, Dawa, Barabara na huduma nyingi mbovu kwanini Serikali haiwasaidii Wananchi, sasa unajiuliza Serikali aliyo isifia ni ipi? na anyoililia ni ipi.

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sisi tunasema huko ni kuweweseka
wengine wanasema huo ni undumilakuwili
Vijana wao wanasema wamepoteana
Kule kusini wanasema Wanademadema
Kule mbele wanasema 'Out of control'

Haiwezekani unalialia halafu huku unasifia, kama sio umalaya ni nini huo? Na hapa imewakalia vibaya sana, si unajua mwaka wa uchaguzi? Anajikosha kwa chama ili apitishwe, wakati huo huo anajikosha kwa wananchi ili aonekane anawatetea. WATAJIBEBA
 
Back
Top Bottom