muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
Unajua fika kwamba unaunga mkono hoja 100%.Sasa kwa nini unapoteza muda adimu wa kujadili mambo ya maana kwa kuelezea matatizo au kutokuridhishwa na mambo fulani fulani kisha bila aibu unasema unaunga mkono hoja mia kwa mia. Huu ni unafiki na wizi/ ufisadi wa waziwazi wa muda adhimu ambao ungeweza kutumika kujadili mambo mengine ya maendeleo.
Wabunge wengi wa CCM wamekuwa vinara wa kueleza matatizo na kupoteza muda wa bunge kisha wanaunga mkono hoja 100%.kwa nini msikae kimya mruhusu wenye hoja za maana wazungumze ili kushinikiza serikali na nyinyi msubiri kutumia masaburi yenu na kusema ndiyooooo kama ilivyo kawaida yenu.
Hakika nawambieni vizazi vijavyo vitafukuwa mafuvu yenu na kuchunguza kama mlikuwa mnatumia ubongo wa makamasi kipindi cha uhai wenu. Na kwa hasira wataomba mafuvu hayo yakatupwe baharini sehemu isiyojulikana ili isije ikaambukiza umasuburi wenu kwa kizazi kipya