mustafa ommy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 221
- 127
1. Kwanza anaanza kuunga mkono hoja asilimia 100.
2. Baadae anaanza kutoa List ya matatizo inayopingana na hoja.
3. Tatu naonesha jazba na matusi anapokabiliwa na hoja nzito inayohitaji kufikiri.
4. Akijadili anaonesha ushabiki wa chama.
5. Anamalizia mchango wake kwa kuunga mkono hoja.