lowaSA NI MFA MAJI.MBONA HAKUYASEMA HAYO WKT ANAJIUZULU?HUU NI UNAFIKI NA Usanii wa kisiasa wa kutaka huruma ya watz.
Labda wale wa Monduli
lowaSA NI MFA MAJI.MBONA HAKUYASEMA HAYO WKT ANAJIUZULU?HUU NI UNAFIKI NA Usanii wa kisiasa wa kutaka huruma ya watz.
Hana ujanja wa kujibu tuhuma kwani anamuogopa Lowasa kama ukoma, na bado EL hajatoa siri zote kwahiyo akijitetea nae akajibu mapigo ****** hali itakuwa mbaya.
Kwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".
Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.
Makubaliyano ilikuwa lowasa asafiswe akaterekezwa kazi iliyo baki kwa lowasa nikuanika ukweli
Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.
kikwetu mbopo maana yake ni upupu sasa huu ulio leta hapa ni upupu weight ya lowasa hailingani na kafulila au hamad mukama ni kama kisisimizi kwa lowasa kuonyesha mukama ni mtoto mdogo alishindwa kumzuia lowasa kuplant ving'amuzi kwenye mkutano wa nec mpaka sisi makabwela tukajua rais kachanwa live gamba mkubwa weee umetumwa?Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.
yaaani hapo kwenye red umenifurahisha sana hilo neno nilikuwa nalitafuta siku nyingiKwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".
Mh Rais swala hili limezua mjadala miongoni, tunaomba majibu haraka ikibidi. Kwa nini hujibu mapigo dhidi ya tuhuma za Mh Lowasa alizozitoa nec juu yako. Kukaa kwako kimya kunafanya tuamini kuwa wewe ndio muhusika mkuu wa RICHMOND. Vinginevyo unambebesha zigo la dhambi lisilostahili Mh Lowasa. Au tuamini kuwa mh Lowasa ni jasiri kuliko wewe?