Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana.
Ukienda mabwalo ya Magereza, polisi hizo ndo stori zao wanalialia Wana kamsemo kao eti "NO KUONGEZA POSHO NO KUBEBWA" kuwapiga watu wanaomuomba Mungu ni kujitafutia laana ambayo utatafuta mganga wa kukutibu hutampata! Nawaonea huruma mtu unapigana nae kimwili yeye anapigana nawe kiroho hata hujishtukii!!? Kisa kulinda wahuni!? Laana inayotoka hapo sijui wapi utatambika ikutoke.