Hapa ndio utaelewa tofauti ya policy makers na watu wanaoongea kwa kukariri hoja za watu na kujivika uwezo bandia wa kujenga hoja mfu, wasio na uwezo wa kutoa njia mbadala na mwelekeo, wabishi, wanafiki, wazushi,wanaoongozwa kwa upepo sio misingi ya uhalisia, watu wenye kuona umbali mfupi na wanaoweza kutoa kasoro bila kuainisha njia mbadala na wasio weza kuchukua hatua.