Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Nakubali upepo umegeuka mpaka vijijini.
 
Kwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?
Wewe unajifanya ngurukenge.?? Nchi imepata uhuru huo? Jamaa wanauza wanachotaka bila ridhaa yetu halafu unasema tuko huru?. Tukisema tunakamatwa kama Digidigi na kuuwawa halafu unasema tuko huru? Inahitaji kukombolewa tena hii!! Slow slow yuko sahihi
 
Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Siku zote wanaoleta mabadiliko ni vyeo vya chini ,Yaani Captain au Major hao top hawawezi maana wanakuwa kitu kimoja na mfumo
 
Dalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Kama wewe ukiongeza juhudi kidogo ya kufikirika utajuwa Polepole ni tarishi (messenger) tu.
Anafikisha ujumbe aliotumwa na jopo kubwa mfano wa taasisi kubwa sana.
Ajaribu mtovu wa nidhamu yeyote kufanya au kuongea anavyo fanya Polepole kisha uone.
Shirika sasa.
Mwenyewe kamwambia Chalamila hii game ni ya level kubwa sana.
Hapo kaenda kujionesha yupo nchini kwa sababu maalum.
Wenye mambo yao wameelewa.
 
Jeshi limelala huu ndo ulikuwa muda wao wa ku take over!
 
Mmmmh !
Kumbe jamaa yupo siriasi kweli πŸ˜‚ !
Halafu inaonekana anajiamini sana !
Hii ina maana kwa mtazamo wangu ana backup ya nguvu 😳 !
Lakini 😳 kama kweli yupo Nchini πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ !
Huyu wanasema ametokea kule kwenye kitovu cha usalama nchini ..alisema paskali...so anajua moves zote ..!
 
Kwahyo huu undezi uendelee kisa utashindwa kunywa visungura? stupidity
Kwa hiyo unahisi jeshi likichukua nchi utaweza kuwa hata keyboard hero hapa jf? Hapa ni kupigania katiba ibadilishwe...jeshi likichukua nchi halafu tuishi kama Korea kaskazini..tupangiwe mda wa kulala..tupangiwe staili ya kunyoa AU HuJuI maana ya kuishi under military occupation
 
Huwezi kupata mabadiko kupitia defence bila wananchi kuanza kuchukua hatua.Jeshi haliwezi kuingiloa siasa.
Watu wapambane na hali zao,kwanza mkishindwana ndio jeshi inaweza kuingilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…