Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,703
- 4,697
Mh. Ndalichako, tunakuita njoo vyuo vikuu ujionee majipu yaliyokwenda shule jamani, mbona huonekani? NAzungumzia vyuo vya serikali. Anzia UD, SUA, Mandela na MUHAS.
Kwa sasa wakuu wa serikali wanahangaika na sehemu za serikali zinazogusa maisha na pumzi ya nchi lakini ktk vyuo vikuu kwa miaka mingi, maisha yameachwa kujiendesha kama watakavyo. Vyuo vikuu imekuwa ni sehemu ya wizi wa pesa, ukabila, nk. Malipo ya tuition, malipo ya utafiti, nk.yote ni wizi tuuuuuu!
Ni bahati mbaya pesa hii huwa haifanyiwi uchunguzi na CAG lakini hali ni mbaya sana. Badala ya kuimarisha miundombinu ya masomo, viongozi wetu wa vyuo wanazigawana bila huruma wakati wakilalama eti wanapewa pesa kidogo ya maendeleo.
Miradi mingi pia iko chini ya kiwango. Majengo yanajengwa kwa ubora duni na gharama kubwa kuliko uhalisia wake. Tuanaomba ziara yako kabla hatujalifikisha kwa mtumbuaji mkuu. Please! Please!