Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji chaMbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na Katibu Tarafa.

Wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh Mbunge.
 
Safi sana dogo janja

mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji cha mbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na katibu tarafa.wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh mbunge.
 
Jambo jema,japo hujafafanua vzr namna alivyokuwa na alivyolirudisha
 
mpaka sahz wamama wanasukuma gari lake kwa maamuzi mazuri na support aliotoa kwa wananchi kwa kurudishiwa soko lao la mbogamboga
 
diwani wa mbuguni ndiye yule aliyedakwa na takukuru kwa rushwa ya uteuzi wa siyoi?
 
hili soko lilikua linatumiwa na wanakijiji kwa shunguli ndogondogo,uöngozi wa kijiji wakalibadlisha soko kua standi ya mabasi na wakahamisha lile soko km 5 kutoka kijijini hvyo ikawawia vigum kwa wafanya biashara wadogo kwenda kupeleka bdha kwa sababu ya umbali hvyo wamama wengi wakajikuta wanashndwa kusomesha watoto kwa sababu hata wakipeleka bdha soko jipya wateja walikua hawaendi.nadhani nmeeleweka
 
Nasari akaze buti kuna kero nyingi sana kwenye jimbo lake....
 
Ndiyo yeye akawa upinzani TRA wakahamia nyumbani kwake kila siku wana pekua docs zake akaona isiwe tabu narudi CCM...

we kweli unamjua askofu,alikua nccr na akamsupport sana mrema 95 ccm wakaanza kumfirisi kwa ku2mia tra jamaa akakimblia ccm
 
Udogo wa Nasari ni mwili na umri lakini kichwa kinafanya kazi kile na kaenda shule dogo sio kama Mwigulu na Mulugo wanaosafiria nyota za watu wengine wamechakachua vyeti
 
Back
Top Bottom