Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

Mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji chaMbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na Katibu Tarafa.

Wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh Mbunge.

kichwa cha habari kinapotosha. uanaume= utupu
 
Uanaume na soko wPi na where? Mm nilidhani kammimba dada wa mtu flan hivi.
 
hivi ndivyo ilivyokua mbuguni
 

Attachments

  • 28122012022.jpg
    28122012022.jpg
    402.8 KB · Views: 82
  • 28122012026.jpg
    28122012026.jpg
    360.3 KB · Views: 69
  • 28122012030.jpg
    28122012030.jpg
    402.9 KB · Views: 71
Udogo wa Nasari ni mwili na umri lakini kichwa kinafanya kazi kile na kaenda shule dogo sio kama Mwigulu na Mulugo wanaosafiria nyota za watu wengine wamechakachua vyeti
hiyo ndio maana ya mzalendo kujali maendeleo yako na yawenzako
 
Mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji chaMbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na Katibu Tarafa.

Wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh Mbunge.

"hatutaki vyama vinavyoleta vita Tanzania"

ama hakika, hii ndiyo vita wanayoiogopa ccm
 
Safi sana ndio kazi tunayo itaka! Kuwa tumikia wananchi!
 
Diwani wa Mbuguni ni yule anajiita askofu mwenye Palson Hotel...

Aliewahi kumiliki timu ya mpira wa miguu, na toyota Dyna Clippers nyigni tu enzi zake. Aliewahi kumwaga hela kwa dirishani watu wazipiganie.
 
Bora kama alifuata taratibu za kukusanya sahihi za wananchi
 
nyinyi watu humu ndani JF ni wap*mb*vu sijawahi kuona. Mnamsifia Nassari kwa kufanya kazi ambayo ni wajibu wake kama mbunge? Mbona wakifanya ccm kazi zao na watu wakiwatetea nyinyi magwanda mnakuja juu kama mmepigwa vijiti vya masaburi ? Ebu tulieni alaaaa
 
Uanaume na soko wPi na where? Mm nilidhani kammimba dada wa mtu flan hivi.

we utakua ndugu yake nape kwa jinsi unavyofikilia kwa kutumia masaburi
 
haikuwa kazi rahisi mafisadi walijipanga kukwamisha mkutano lakini wananchi walikomaa pamoja na dogo wao cha kusikitisha DED aliongozana na wanaojiita wataalamu ambao wanasema walifanya tafiti mm nikafananisha na ramani ya choo na ss tulikuwa tunahitaji ghorofa maoni yangu hawa jamaa walibisha hodi wakati wamesha fika ndani.
 
Back
Top Bottom