Mh. Nape tupe hitimisho la kujivua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Nape tupe hitimisho la kujivua gamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Japhari Shabani (RIP), Jul 22, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mh.Nape baada ya kiini macho cha kujivua gamba kwa mbwewe CCM ilitangaza kwamba watuhumimiwa wote walipewa siku 90 kujivua magamba na kama watafanya hivyo CCM itawavua yenyewe.Lakini kauli hiyo ilifuatia na sintofahamu kadha,mara NEC haikutoa muda,wasipojivua magamba tutawavua,CCM haitaki mchizo na mafisadi na mengine mengi yakiandamana na ziara za mikoani kuelezea dhana ya kujivua gamba.Mbali na propaganda za majukwaani na kauli za kujipinga zenyewe kwa zenyewe hakuna kinachoeleweka.Katika hatima ya siku 90 ingelikua vyema kuitisha mkutano na waandishi wa habari kutoa tathimini ya siku 90 na sikungoja kukumbushwa.VINGINEVYO KAULI ZAKO ZOTE TUTAZICHUKULIA KAMA MIPASHO NA UROPOKAJI.Unapotaja siku kumbuka kalenda haisimami.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nape and CCM are all failures!!
   
 3. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nape ni zao la mafisadi hawezi akafukuza mafisadi.mafisadi hawa ndio waoifadhili CCM kwa kila hali na mali leo wawafukuze? Kwasisi watanzania kweli WANAMAGAMBA ni mafisadi lakini kwao ni WAFADHILI. Je? nape ana uwezo wa kufukuza wafadhili wake? UKWELI NI HUU CCM(GAMBA) BILA MAFISADI HAIWEZEKANI.
   
Loading...