Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

hapo ni kama anasema shkamoo mheshimiwa Rais na kwa maksudi wakampanga na dada Tulia kwenye picha ya pamoja 😀😀
 
Mshauri mbowe awajengee ofisi ya chama basi,
Miaka 20 chama hakina ofisi ,hii aibu jamani .

Hivi mbowe hela ya ruzuku anapekeka wapi?? Au ndio zinalipia maandamano
 
[QUisTE="Mzalendo39, post: 16838168, membeweightless[/QUOTE]
It is just a cooked photo, Msigwa cannot be that much weightless
 
View attachment 365961

Ni katika viwanja vya Karimjee leo wakati bunge likimkabidhi Mh. Rais madawati kwa ajili ya watanzania

Mh. Mbunge wa Iringa alionekana akiwa kwenye ratiba hiyo na hata kupiga picha na Mh. Rais pamoja na wabunge wengine.

Kinachonishangaza ni vijana wa CCM na CHADEMA wanapomponda na kubeza kitendo hicho ambacho kinaonekana kwenda tofauti na msimamo wa chama chake, baada ya CHADEMA kutangaza msimamo wake kwa kutoshirikiana na serikali ya Chama cha Mapinduzi.

Msimamo huo ulianza wakati wa vikao vya bunge la bajeti vikiendelea Dodoma pale walipoonyesha msimamo wao wa kutoshirikiana na naibu spika na kuanza kususia vikao vya bunge ambapo ilifika mbali hata kisusia wabunge wa CCM na hata kupeana salamu na katika mwezi mtukufu wa ramadhani walisusia futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu pamoja na spika wa bunge

My take:
Huu ni wakati wa kuwa wamoja katika shughuli za maendeleo kwa watanzania.....tofauti za kichama zisituwawe watanzania

Naungana na Mh. Msigwa pamoja na watu wote wanaounga mkono utaifa kwanza vyama baadae.
Remember that, UKIMUONA MTU YOYOTE ANAMSHABIKIA NYWELE NYEUPE ANATAKIWA AKAPIMWE AKILI by Msingwa!!!
 
Pamoja na kukacha futari kwenye mfungo kumbe hamna lolote, dr. Tulia na jpm dawa ya nyumbu
 
My take ya nini tena ndugu? Kwani umenukuu sehemu? Anyway mwenye kuhitaji ukomavu kwa sasa ni JPM
 
EBHANA EE SAMAHAN WAKUU HIVI DR T.A AMEOLEWA? MAANA NA HAKIKA KABISA NI MBEGU BORA JAMANI AAH KWELI MUNGU AMEUMBA.
 
aisee! kumbe dr.Tulia ni mrefu hivyo. amefanya viongozi wengine hapo mstari wa kwanza waonekane shotii zaidi! hata mh. Msigwa ni kama vile anamshangaa.
Kumbe hata wewe umegundugau hili! pamoja sana[emoji109]
 
Acheni uchonganishi na unafiki, hoja ya ukawa ni kutoshiriki vikao vyote vya bunge vitakwvyokuwa vinaongozwa na naibu spika, hapo bunge limeenda kukabidhi mchango wa madawati. Hakuna vikao vya bunge hapo.
 
Mnafikiri mnamgombanisha na UKAWA ....HUYU alikuwa pale kama kamishina wa Bunge ,,,,,basi

Sasa ndio umesema nini? Kamishna wa bunge gani? La nchi gani? Ambaye kiongozi wake ni nani? Kutoka chama gani?
 
View attachment 365961

Ni katika viwanja vya Karimjee leo wakati bunge likimkabidhi Mh. Rais madawati kwa ajili ya watanzania

Mh. Mbunge wa Iringa alionekana akiwa kwenye ratiba hiyo na hata kupiga picha na Mh. Rais pamoja na wabunge wengine.

Kinachonishangaza ni vijana wa CCM na CHADEMA wanapomponda na kubeza kitendo hicho ambacho kinaonekana kwenda tofauti na msimamo wa chama chake, baada ya CHADEMA kutangaza msimamo wake kwa kutoshirikiana na serikali ya Chama cha Mapinduzi.

Msimamo huo ulianza wakati wa vikao vya bunge la bajeti vikiendelea Dodoma pale walipoonyesha msimamo wao wa kutoshirikiana na naibu spika na kuanza kususia vikao vya bunge ambapo ilifika mbali hata kisusia wabunge wa CCM na hata kupeana salamu na katika mwezi mtukufu wa ramadhani walisusia futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu pamoja na spika wa bunge

My take:
Huu ni wakati wa kuwa wamoja katika shughuli za maendeleo kwa watanzania.....tofauti za kichama zisituwawe watanzania

Naungana na Mh. Msigwa pamoja na watu wote wanaounga mkono utaifa kwanza vyama baadae.

Sidhani kama ndio anakubaLiana na siasa za JPM
 
mbona jpm wenu ndiye kinara wa ubaguzi
 
Back
Top Bottom