Mh. Mkosamali: This week in perspective

Lugha gongana! Dah! Uhishimiwa kazi kweli kweli.....lakini c mnaelewa anachozungumza?! Hiyo ndio point ya msingi, kwani kazaliwa Ulaya yeye. Mbona J. Magamba aliwahi kuhojiwa Tbc nyuma kuna bonge la shelfu limejaa vitabu, ova Obama.

January ameingiaje hapa?
 
Lowassa naye kwenye YouTube anasema 'If I will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.'
Tafsiri isiyo rasmi
"kama nitachaguliwa kuwa rais kipaombele kitakuwa kkuboresha umaskini"
nadhani nimepatiapatia
 
true, mkosamali said in his own statement "between all mp....." oohh god, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... Imagine this is mp sent to bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....
hapa kwenye lugha chache
 
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!

gesture ni nyenzo muhimu katika kuwasiliana mkuu. Jifunze kuzitumia hata katika majadiliano yako na partners wa aina mbalimbali. Lugha ni sawa but gestureS hazina MAHUSIANO.
 
True, Mkosamali said in his own statement "between all MP....." oohh God, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... imagine this is MP sent to Bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....

OMG! and you dare vilify the honorable MP for his bad English?
Is this what you call proper English?
Honestly I am so embarrassed on your behalf !
 
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!

pia hata watoa maada wanakuwa na limitation kwa kuwa kuna misamiati mingine iko kwenye lugha nyingine na upande wa pili hakuna.
 
Mikataba yote huwa kwa kimombo. Si ajabu nchi kuliwa mchana kweupeeeeeee! Watatunga vipi sheria kwa lugha wasioijua??


That's why they decided to allow Swahili Version of Bills ili kuficha uwezo wao wa kujua Kimombo...Huyu dogo Mkosamali ni Msomi wa Chuo Kikuuu tena wa Sheria, haiwezekani akawa wanafikiri kiswahili ili aseme kiingereza. Vinginevyo angesusia Mwaliko huu unaomwanika.
 
gesture ni nyenzo muhimu katika kuwasiliana mkuu. Jifunze kuzitumia hata katika majadiliano yako na partners wa aina mbalimbali. Lugha ni sawa but gestureS hazina MAHUSIANO.
Hakuna anayekataa hilo...ishu ni kuwa unapozidisha gestures uko likely kupoteza!...unaweza ukawafanya audience yako wasiconcentrate na pwenti unazomwaga, wakawa wanaangalia miondoko ya mikono na kichwa chako...WAALIMU WENYE GESTURES NYINGI MNO MASHULENI WANAISHIA KUPEWA MAJINA!
Kil KITU kinapozidishwa kinakera broda!
 
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!

Alishawahi kuulizwa hl swali alisema TBC kuna vipindi vingine vya mahojiano vya 'Kiswahili' kama kipindi cha 'Tuambie' ndo maana akaanzisha kipindi km hicho ila cha 'Kiingereza' kujaribu kusaidia kupata habari raia wa kigeni wasiojua lugha yetu
 
Kama ulikuwa unaangalia ili ujue kama ankifahamu kingereza unazosababu zako za mwenyewe, mbona wengine hujacoment chochote?. Mh. Mkosamamli alikuwa anaelewana na wenzake , cha msingi ni kutuma msg imfikie mhusika, Kama ni ishu ya grammar wote walikuwa wanakosea. Na uelewe English sio lugha yetu ya kwanza kama Taifa.
 
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!

hawezi cha kuongea ila cha kuandika anajaza kaunta book kwa muda mfupi tu. Ndio wa tz wengi wetu tulivyo. Cha kuongea kidogo tu. Sasa hebu lete kalatasi uwone kazi
 
haaaaaa!!! huyu Felix Mkosamali English yake was so nearly to being rubbish, hapa ndipo unapoona kuwa we're really have gotten into problems at international languages proficiency. Mimi huwa napata sana shida kusikiliza mtu mwenye hadhi kama ya ubunge anapozungumza kwa lugha ya kigeni halafu anababaika kuelezea jambo ambalo wakati fulani huwa ni very pointing, hii ndiyo hali halisi ya walimu wanavyofundisha watoto wetu huko mashuleni (without prejudice). Again, naona huruma kuona tunavyopasua vijipu vya kidhungu kiubishi, nikiona hivyo...i always either change to another channel or switch off the tv. Nimetazama hicho kipindi then baada ya kuona style ya uzungumzaji nikajitoa ktk kuwa mtazamaji wa kipindi.
 
Back
Top Bottom