Mh Mbowe ndani ya USA!!

Mh Mbowe ndani ya USA!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,888
IMG_0671.JPG
 
Msiniulize kama chakula kina pottasium cynide ama lah..tusubiri yawafike.....mwakyembe aliunga unga vijisafari hivi hivi alipofilia kumomonyoka mpaka leo akumbuki alikula wapi
hii nchi hii
 
Baadaye leo anakutana na vijana wa Kitanzania walioko maeneo haya ya Washington D.C. Virginia na Maryland. Hata mimi yakhe nitajikongoja niende kuona yanayojiri na jioni nitawaleteeni taarifa.
 
MA NAMWONA PRESIDAA MTARAJIWA
IMG_0694.JPG
 
Siyo issue kwani kuwa USA ni jambo la ajabu nilidhani utatueleza nini kimejiri huko, kafanya nini kina manufaa gani ..........
 
MH NANIIINO NAE ALIKUWEPO
IMG_0700.JPG
 
siyo issue kwani kuwa usa ni jambo la ajabu nilidhani utatueleza nini kimejiri huko, kafanya nini kina manufaa gani ..........

kijana mdogo uko tunaenda likizo tunarudi wala sio issue sana ..tumeweka hii tupate kujua kinachoendelea kwa walio uko kama unaposoma m=kuna mmoja katuambia anakutana na vijana we ulikuwa ujui na leo weekende unashindaa bar tu kunywa nzawisa
 
sasa huyo nyalandu anataka kujiunga chadema au ni nini??tupeni taarifa basi wakuu nini kinajiri
 
ma namwona presidaa mtarajiwa
img_0694.jpg

mh mbowe ulivyopendeza kwa kweli imebidi niweke kwenye computer yangu mpaka pale man city watakapofungwa wakishinda itabidi iendelee kubaki
unajua uzuri wa chadema smartness auko kichwani kila sehemu ndio maana ...malizia
 
nimesha ku pm

jasusi hata ukumbi pm jamani wekeni wazi ama mnaogopa asilishwe potassium cynide na kile chama chetu cha mauwaji??teeehhh teeehhhh
 
hayo mataka taka yanapatikana kwa shida siyapendi
umenichekesha nilipeleka vitu vyote wakaniuliza nina mke nkawaambia ndio nikaombwa cheti cha ndoa sikuruditena aaisee ..pole sana amia...ule raha kama mimi
 
Back
Top Bottom