Mh Mbowe ndani ya USA!!

Hivi hawajamaa wametumia Pesa gani?
Na ni kwanini hatuko concerned na safari za nje hapa ?

Naona tunasifia tu... Kama suala ni kutokwenda nje kwa shughuli zinazowahusisha wanasiasa iwe kwa wote sio wakienda wengine German au Uk poa tu....

Sasa msiojua Hawa wote wanasiasa haya mambo ya visafari na viposho wanavipenda sana mkitaka ndio hivyo msipotaka ndio hivyo..

Ni maigizo tu tunafanyiwa. Wajinga ndio tuliwao
 
Wewe shida yako nini? Walikaribishwa na seneta wa Marekani. Hawakutumia fedha za walipa kodi wa Tanzania, unlike some people I know who love to adventure around the world on people's money.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom