Mh Mbowe ndani ya USA!!

huyu naye ni nani?
jamaa sikujua yuko serious hivi aisee hata masha akimwona leo anaogopa aisee safi sana mpwa wangu wenje
safisha nyota bana ila urudi sasa amjatuambia huko mnakula ile ile 200,000 ama ??napita tu
 
MA NAMWONA PRESIDAA MTARAJIWA
IMG_0694.JPG
Mbowe unanikumbuka? siku ile tulikesha pamoja pale NMC arusha.
 
Mm\mkuu yuko on line muelekeze akukumbuke mlingatwa mbu pamoja ama akukumbuke kwenye ile posho ya per diem
embu clarrify bana hana hiana mzee
 
mbona hizi picha hazitoi udhibitisho kuwa hapo ni USA? na kama alikwenda USA, aliyepost atuambie mbowe alikuwa anafanya nini chenye maslahi kujadili humu, vinginevyo tunaweza kuishia kujadili safari binafsi za mtu.
 
Baadaye leo anakutana na vijana wa Kitanzania walioko maeneo haya ya Washington D.C. Virginia na Maryland. Hata mimi yakhe nitajikongoja niende kuona yanayojiri na jioni nitawaleteeni taarifa.
loh hapa cdm nawaonea huruma,hicho kiruzuku wanachopata ndio kanatumika kutanua badala ya kwenda kufungua matawi ya chama huko mikoani
 
MKUTANO WA WATANZANIA LEO JUMAMOSI TAREHE 4,WASHINGTON DC. MUDA SAA NANE MCHANA,"NCHI KWANZA ".UJE KUTOA MAWAZO ILI KUMPONYA MAMA TANZANIA.[MGENI WETU NI MWENYEKITI WA CHADEMA MH MBOWE. Maelezo zaidi 240 401 0316
 
Msiniulize kama chakula kina pottasium cynide ama lah..tusubiri yawafike.....mwakyembe aliunga unga vijisafari hivi hivi alipofilia kumomonyoka mpaka leo akumbuki alikula wapi
hii nchi hii


hahahaha mpwa mchokozi wewe lol!! sahauri yako!
 
Ngoja wakamchakachue,si unamuona Kikwete,kushne.Mnawachezea Wamarekani, washenzi kweli.Ukifanya urafiki nao,kama you are of interest to them, lazima mwishowe wakumalize.Washenzi hawa, hawana urafiki.
 
loh hapa cdm nawaonea huruma,hicho kiruzuku wanachopata ndio kanatumika kutanua badala ya kwenda kufungua matawi ya chama huko mikoani

Omba CHADEMA waendelee kufanya hivyohivyo, kwani wakianza kufungua matawi vijijini Magamba hamtasalimika!
 
Back
Top Bottom