Manager
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 531
- 73
Ushindi Mara ya 5 ndani ya Wiki 2 hadi 3
1. Arumeru
2. Sumbawanga
3. Biharamuro
4. Singida kwa Lisu
4. Kumwagika kwa wanachama wa CCM kuelekea CDM
Hadi sasa CDM 5 na CCM 1 (Ushindi wa mezani wa Arusha)
Hii haijawahi tokea tangu Mageuzi yaanze. Ipo kazi!