Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Kuleni iyo magamba,mlizoea pole tena saanaaa,chademaaaaaaa!vemaaaaa,pple's power
 
Kumbe Tanzania bado tuna Majaji wanaojiheshimu na kuiheshimu taaluma! God bless these three judges. The one who gave judgement on Tundu Lissu case, the one who gave judgement on Aeshi's and this gentleman.
 
TBL watapata faida kubwa sana week hii, leo ndio hivyo tena, kesho mapumziko, Jumatano Segerea!

Mahakimu saizi naona wameamua kupractice weledi wao sasa. Yule Arusha nadhani mahakimu watiifu wa kiapo watakuwa wanamlaani sana.
 
Many congrats Dr... Kwa vile kakupa basi hakuna wa kukunyang'anya,ni yy tu aliye Mawinguni.
 
Sawa sawa, now i have confirmed nilivyoambiwa!!!!!

Kaka Kaiza asante sana, ulipotoa ile hint ya mwanzo basi moyoni niliamini na kwa vile sasa ume-confrim naomba upokee biggest LIKE mkuu.

Tulianza na MUNGU, tunaendlea naye na tutamaliza Naye!
 
Hongera chadema kwa kuendelea kuichakaza ccm na mafisadi.
Source John Heche Chairperson Bavicha
 
Back
Top Bottom