Mh. Majaliwa ondoka na vichwa hapo Bukoba

Mh. Majaliwa ondoka na vichwa hapo Bukoba

Mh. hongera sana, sielewi kama unaelewa msingi wa pongezi zangu. Ninamaanisha, hawamu hii ya tano mmeweza kuelewa kwamba mkoa wa Kagera na watendaji wa serikali ni "mizigo", wababaishaji, wazembe, wezi n.k .. Kimsingi si waadirifu hata kidogo.

Na naona hili umeweza kulibaini vizuri sana na hii inatokana na safari ambazo umeshazifanya katika mkoa huu, nadhani hii ni mara ya nne kama sikosei na kila ukirudi mambo ni yale yale. Nakusihi mh. Waziri mkuu, tumbua. Kuna watu manunda, hayasikii mvua wala jua, hebu fanya kuwaweka benchi kwanza wakuu kadhaa wa Idara hasa hasa hapa manispaa.

Mie nakusihi tu, kwamba najua unakereka sana na aina ya viongozi eneo hili, usipate kigugumizi kuwafyekelea ziwani. Wanafanya vile eti kisa ni mbali na Dar/Dom na kwasababu huu mkoa uko pembezoni kabisa na kwamba hata media zingine hazifiki kama maeneo ya karibu na Ikulu

Ondoka na vichwa kadhaa mh
Kagera yamejaa manunda balaa,soko,stendi havijajengwa,sio kwa sababu hakuna rasilimali kisa tu ni kwamba ni mipango iliyobuniwa na Chadema,na Uongozi wa Mkoa hautaki kuunga mkono,unafsnya figisu figisu,hiyo miradi isijengwe,
Bei ya viwanja ni kubwa sana,ukilinganisha na mikoa kama Dodoma,Pwani au Singida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna comments za watu huwa nazisoma then nacheka kwa sababu mtu anaandika kitu ambacho hakijui hata kwa 0%. Imagine mtu anasema hamna usafiri wa uhakika kutoka Mwanza kwenda Bukoba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!! Hapa lazima ujue kwamba mtu huyu IQ yake inaelekea zero
Sasa kitu gani kinasababisha kusiwe na maendeleo huko kwenu? punguzeni majungu, ujuaji usio na maana, mambo ya mizimu na ushirikina, shenzy type nshomile
 
Sasa kitu gani kinasababisha kusiwe na maendeleo huko kwenu? punguzeni majungu, ujuaji usio na maana, mambo ya mizimu na ushirikina, shenzy type nshomile
We bukoba hupajui ndo maana unasema hakuna usafiri WA barabara Kati ya mwanza na bk.Bukoba vijijini na huko muleba vijijini kuna nyumba ambazo dar utazikuta mikocheni na masaki
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wajifunze Moshi... Yaani sijaona mkoa mzuri Kama Kilimanjaro. Wanapanga Mambo yao yanapangika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mikoa iko mingi wanakofanya pazuri ama kisa sijaitaja Moshi? Mikoa gani unaifahamu zaidi ya Moshi ili tusaiadiane make hata Tabora, Shinyanga, Singida ni mikoa ambayo inafanya vizuri sana labda kama una kijicho na vya wenzio
 
We bukoba hupajui ndo maana unasema hakuna usafiri WA barabara Kati ya mwanza na bk.Bukoba vijijini na huko muleba vijijini kuna nyumba ambazo dar utazikuta mikocheni na masaki
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwembwe tu Hakuna kitu
Makaz bora kagera ni 56% wakati Kilimandjaro ni 85% sasa nan wakutamba hapo? Unajua mna mbwembwe za kijinga mno ndio maana mnazid kubaki maskin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom