luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
Mzee wangu Haka ka kijana ka kihaya hakajui kuwa umesoma tangu enzi za mkoloni tena elimu kubwa kanadhan ww ni mvivu mwenzao kapuuze tu mzeeMshenzi wewe nimesoma hata mama yako hajavunja ungo ikiwezekana hata hajazaliwa
Hao unaosema wamesoma waambie hiyo elimu iwakomboe dhidi ya ujinga mlionao wengi wenu
Nyie wahaya mna usomi Gan?Kwa hyo unachukia kukwambia ukasome!! Basi kaa na ujinga wako, shenzi wewe
Eti ofisini hatupo?Acha kuropoka na nyinyi someni, unadhani utaongea kilugha wakati ofisini upo mwenyewe. Mnakuwa na wivu wa kipumbavu kwa kuwa hamjasoma na kuwa wengi maofisini
Kupiga kilugha afisi za umma hutengeneza majungu na hivyo kufifisha utendajiUsiropoke tu bila ushaidi. Kuna uhusiano gani wa lugha na maendeleo!?
Ni mabishi hatari,yanaweza hata kubishana na mbuziNyie wapumbavu kukiri udhaifu huwa ni ushindi wa kujifunza tatizo lenu ujuaji usio na maana na ndiyo maana jpm aliwachana live
Sio vumbi tuu na funza kibao mji pekee wenye funza TanzaniaTatizo nini tena huyo@nsomile asichoelewa nini stand nzima imejaa vumbi wakiambiwa wanakuja juu
Kuongea kilugha kunatengeneza ubaguz ktk ofisi,na kunapotokea ubaguz Ni dhahiri utendaji kazi utadorora, utendaji ukidorora ndipo maendeleo hukwamaBado nakuita mpumbavu, thibitisha kwamba kilugha kina-affect maendeleo. Otherwise wewe ni mpumbavu
We mpumbavu mbona unarudiarudia hizi tuhuma?Walimaliza wapi wakati hata hawajaanza? Hela za wb mlibishana hadi zikarudi
Mmekalia ubishi huko halmashauri zenu
Nilishangaa nafika misenyi DC,bk, muleba DC nakuta watu wanachapa kihaya ofisini hatari utadhan upo Kijijin
Mnajimaliza wenyewe kwa ubishi wenu na ubaguz
Ofisin mnabagua "wanyamahanga" isitoshe mnabaguana Wenyewe kwa wenyewe Mara mhaya wa kiziba,Mara wa kamachumu,Mara wa kyaka upuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi nilienda kupiga kikazi cha muda pale bukoba, aisee mbona wiki tu niliondoka, serikali iangalie namna ya ku engage mikoa ya pembezoni kwa kujenga miundombinu kama barabara kuunganisha na miji mingine ili watu wawe wanasafiri kiurahisi ambapo kutachochea maendeleoNiliupenda sana huu mkoa kwasbb kiasili ndio chimbuko la wazazi wangu...
wakat natoka dar natafuta uhamisho wa kuja huku, niligombana na ndugu na jamaa kwa maamuzi yangu..
ila baada ya kufika, najikuta nataman kuondoka huku, Ndugu zangu hawa wanayo tabu sana, na itawachukua muda sana kutoka walipo si chini ya miaka 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha Bukoba hamna barabara za kutoka nje ya mkoa???Kuna kipindi nilienda kupiga kikazi cha muda pale bukoba, aisee mbona wiki tu niliondoka, serikali iangalie namna ya ku engage mikoa ya pembezoni kwa kujenga miundombinu kama barabara kuunganisha na miji mingine ili watu wawe wanasafiri kiurahisi ambapo kutachochea maendeleo
Kungekuwa na urahisi wa kusafiri kwa barabara kati ya Mwanza na Bukoba watu wengi wasingetumia meliMkuu unamaanisha Bukoba hamna barabara za kutoka nje ya mkoa???
Unamaanisha nini?? Mbona magari yanaondoka hadi saa saba Bukoba kwenda Mwanza na yanafika??? Ikumbukwe sa hivi hamna meli na hakuna abiria anashindwa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba.Kungekuwa na urahisi wa kusafiri kwa barabara kati ya Mwanza na Bukoba watu wengi wasingetumia meli
Kwa nini hamna urahisi na wakati barabara ni rami tu, na magari yapo mpaka mchana mtu anasafiri. Au mkuu unamaanisha nini???Kungekuwa na urahisi wa kusafiri kwa barabara kati ya Mwanza na Bukoba watu wengi wasingetumia meli
Basi punguzeni ujuaji, majungu na mambo kama hayo yanayokwamisha maendeleo huko kwenu. Siku hizi kila mtu anasoma, mambo ya kujisifia shule sijui nshomile mpaka fomu four ni mambo ya kizamaniKwa nini hamna urahisi na wakati barabara ni rami tu, na magari yapo mpaka mchana mtu anasafiri. Au mkuu unamaanisha nini???
Kagera iko vizuri mkuu ila ina tatizo kwenye wilaya ya biharamulo ila wilaya nyingine ni kama wilaya nyingi za TanzaniaBasi punguzeni ujuaji, majungu na mambo kama hayo yanayokwamisha maendeleo huko kwenu. Siku hizi kila mtu anasoma, mambo ya kujisifia shule sijui nshomile mpaka fomu four ni mambo ya kizamani
Duu we ulikuwa bukoba gani? Mbona usafiri WA Meli umestop siku hizi.na usafiri ni barabara inayopita geita na ni standard nzr.pia mabasi mpaka SAA Saba unaenda mwanzaKungekuwa na urahisi wa kusafiri kwa barabara kati ya Mwanza na Bukoba watu wengi wasingetumia meli
Kuna comments za watu huwa nazisoma then nacheka kwa sababu mtu anaandika kitu ambacho hakijui hata kwa 0%. Imagine mtu anasema hamna usafiri wa uhakika kutoka Mwanza kwenda Bukoba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!! Hapa lazima ujue kwamba mtu huyu IQ yake inaelekea zeroDuu we ulikuwa bukoba gani? Mbona usafiri WA Meli umestop siku hizi.na usafiri ni barabara inayopita geita na ni standard nzr.pia mabasi mpaka SAA Saba unaenda mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app