Mheshimiwa, pamoja na nia nzuri ya kuongeza mapato ya serikali kwa ardhi ya vijiji iliyotangazwa kuwa mjini, ni vema ukaagiza Halmashauri (Afisa Ardhi Mteule) apime maeneo hayo ya watu awape hati ili walipe kodi wakiwa na granted right of occupancy.
Huwatendei haki kwa kuwalipisha kodi bila kuwapa hati za kulinda ardhi wanayoilipia kodi.
Huwatendei haki kwa kuwalipisha kodi bila kuwapa hati za kulinda ardhi wanayoilipia kodi.