Mh. Lowassa wewe ni Jembe, hujawatoka midomoni

Mh. Lowassa wewe ni Jembe, hujawatoka midomoni

2020 Lowassa Ikulu hakuna ubishi hapa,kwani walio achwa wana hasira ni rahisi ku deal nao na hajui mbinu za waleeeee........ then November 1,2020 tunawaburuza the Hague wa kwetu fasta wanajijua tuombe uzima.

Mtakua lini ninyi
Kila siku kuota
Hahaha
Mtaongeza miaka mpaka muote mvi kama jizi lenu na kamwe Ikulu mtaiona ITV
 
Mtakua lini ninyi
Kila siku kuota
Hahaha
Mtaongeza miaka mpaka muote mvi kama jizi lenu na kamwe Ikulu mtaiona ITV
Ngamia atatoboa kwenye tundu la sindano na kuuona ufalme wa mbigu ila kwa mwana swisswism itakuwa msamiati hasa kwa maisha zaidi ya mika 55 ya uhuru hata msosi ni hanyau.
 
bavicha mmetutelekeza vijana wenu, mbona hatuwaoni huku Dodoma??
 
Leo Nimeamini Lowasa ni pengo la jino la dhahabu kwenye CCM
Ameongoza kwa kutajwa
 
Nadhani umenikosea heshima,sikujui, hunijui lakin unanitolea povu.
Lazima tuwe na adabu kwa wazee,kama wewe umemuona Lowassa hana maana basi huna haja ya kutoa kashfa Mkuu,Lowassa ni mzee ambae kimaadili yetu ya kiafrika ni lazima tumuheshimu.
 
Kweli ni jembe,kutumia bilio 10 kununua chama si kazi ndogo
Hivi mtu umiliki Billion 10 una haja kweli ya kutafuta uongozi Wa kisiasa? Bilion10 kuhonga tu! Nchi hii kuna waongo si kawaida. Hata angekuwa Rais Wa maisha hawezi kujipatia 10Bilion income labda amilikishwe mgodi Wa Almasi. Chezea Billion 10 we! Si rahisi kihivyo. Chuki kwa Low as a zitapeleka wengi Inferno.


 
Back
Top Bottom