Mh. Lowassa wewe ni Jembe, hujawatoka midomoni

Mh. Lowassa wewe ni Jembe, hujawatoka midomoni

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,253
Mh.Lowassa nimekukubali kuwa we we ni"JEMBE" Mkutano wa CCM Dodoma jina lako kila Mjumbe aliyopo Dodoma limemkaa mdomoni toka Mkubwa wa chama mpaka Mjumbe pongezi kwako.Umewaachia chama chao lakini hawaishi kukutaja pongezi kwako.Mungu si Athumani atakulipia mabaya yote uliyofanyiwa Na watu waliokuwa wako.
 
Mh.Lowassa nimekukubali kuwa we we ni"JEMBE" Mkutano wa ccm Dodoma jina lako kila Mjumbe aliyopo Dodoma limemkaa mdomoni toka Mkubwa wa chama mpaka Mjumbe pongezi kwako.Umewaachia chama chao lakini hawaishi kukutaja pongezi kwako.Mungu si Athumani atakulipia mabaya yote uliyofanyiwa Na watu waliokuwa wako.

Mmmh kisha kufa politically huyo mwacheni apumzike
 
Swadaktaaaa....ndomana hata humu jf Wakina lizaboni&co Ltd kutwaaa kumtajaja laigwanan
 
Mh.Lowassa nimekukubali kuwa we we ni"JEMBE" Mkutano wa ccm Dodoma jina lako kila Mjumbe aliyopo Dodoma limemkaa mdomoni toka Mkubwa wa chama mpaka Mjumbe pongezi kwako.Umewaachia chama chao lakini hawaishi kukutaja pongezi kwako.Mungu si Athumani atakulipia mabaya yote uliyofanyiwa Na watu waliokuwa wako.
Unaachwa unatumia hela zako kuhonga ,alafu wanakukata .

Then unajisifu !!!

Sifa za kijinga
 
Mh.Lowassa nimekukubali kuwa we we ni"JEMBE" Mkutano wa ccm Dodoma jina lako kila Mjumbe aliyopo Dodoma limemkaa mdomoni toka Mkubwa wa chama mpaka Mjumbe pongezi kwako.Umewaachia chama chao lakini hawaishi kukutaja pongezi kwako.Mungu si Athumani atakulipia mabaya yote uliyofanyiwa Na watu waliokuwa wako.
Hahaaaa bado wanaweweseka tu.[emoji12]
 
Kweli ni jembe,kutumia bilio 10 kununua chama si kazi ndogo
Mwl bado unawanyima chakula marafiki zako?Acha uchoyo,nadhani bil 10 zinaweza kukunua wewe na ukoo wako mzima,kama msoc tu ni shiiida
 
Mwl bado unawanyima chakula marafiki zako?Acha uchoyo,nadhani bil 10 zinaweza kukunua wewe na ukoo wako mzima,kama msoc tu ni shiiida
Nadhani umenikosea heshima,sikujui, hunijui lakin unanitolea povu.
 
Lupyee una akili kidogo sana nani anaweza kutoa Hela Kwa mafuriko kama Yale mlikusanya wasanii wa dunia nzima viongozi wenu wakubwa walikuwepo lakini watanzania walisema hawaji wakaenda Kwa Lowassa
 
Hata shetani kila siku misikitini na makanisani na popote pale anakemewa na kulaaniwa kwa hiyo usishangae
 
Kama kweli Mungu sio Athuman aanze kulipa kwanza mabaya ya huyo Lowassa kwa watanzania.
Halafu unaposema mabaya aliyofanyiwa maana yake si na wengine wale wagombea 38 walipwe kwa hayo mabaya..?
 
Mh.Lowassa nimekukubali kuwa we we ni"JEMBE" Mkutano wa ccm Dodoma jina lako kila Mjumbe aliyopo Dodoma limemkaa mdomoni toka Mkubwa wa chama mpaka Mjumbe pongezi kwako.Umewaacu bahia chama chao lakini hawaishi kukutaja pongezi kwako.Mungu si Athumani atakulipia mabaya yote uliyofanyiwa Na watu waliokuwa wako.
Kila zuri au baya malipo yake ni hapa hapa duniani,hadi leo najiuliza lengo la TB joshua kuja kukutana na JK pia Lowassa ni nn
 
2020 Lowassa Ikulu hakuna ubishi hapa,kwani walio achwa wana hasira ni rahisi ku deal nao na hajui mbinu za waleeeee........ then November 1,2020 tunawaburuza the Hague wa kwetu fasta wanajijua tuombe uzima.
 
Back
Top Bottom