Mh lowasa akisaka wadhamini

Mh lowasa akisaka wadhamini

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Hapo ametua kwa mababu
 

Attachments

  • 1433880741466.jpg
    1433880741466.jpg
    39.5 KB · Views: 1,194
Anatafuta wadhani kwa njia nyingi maana mchakato mgumu watu kibao
 
Ukisikia "piga ua galagaza hadi kieleweke" ndo hii
 
Aiseee
Mbona ITV hajaonekana akienda hiyo sehemu?
Kapita Musoma, Bunda, Butiama na Tarime tu
 
Picha ya muda mrefu sana hii...
 
Kuna bega limelegea sana, limeshuka chini tatizo nn?
 
Last edited by a moderator:
Lakini ni ya ukweli?

Picha ni halisi lakini maudhui ya yeye Lowassa kuwepo hapo si sawa na ilivyowasilishwa na Marire...

Siku zote lazima ikumbukwe kuwa JF nayo ni moja ya vyanzo vya habari...

Uhakiki na usahihi wa habari ni muhimu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom