Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Ulimpigia kura wewe au ulimpigia buriani? Hukujua maana ya buriani na godbless ndo kosa lako hata aking'oa barabara zote arusha pakabaki vumbi tutampa kura zetu tu...happy new year kijana...

Whoa. Dadadeki
 
Shard we ni GT sana lakini wanshangaza ck izi Kamanda,kwa ushahidi gani uliopewa kuamini hayo ni maneno ya Lema,from no where tu mtu aseme mimi sio saizi yenu.usiwe una ingizwa mkenge na kina Msalani

Mkuu okwi Boban Sunzu hiyo habari ni ya ukweli japo mleta mada kaingizia na ugamba kidogo but haiondoi maudhui mazima ya uhalisia wa habari husika kwa kisa kilichotekea.
Ni vyema muda mwingine penye kukosoa tukosoe sababu sisi ni binadamu kuna muda wa kujisahau ( Ref. Mhe Zitto na kauli za ajabu). But all in all wote objective yetu ni moja tu katika harakati hizi za kumuondoa CCM na masalia yake madarakani.

#GOODMORNING
 
Last edited by a moderator:
Ulimpigia kura wewe au ulimpigia buriani? Hukujua maana ya buriani na godbless ndo kosa lako hata aking'oa barabara zote arusha pakabaki vumbi tutampa kura zetu tu...happy new year kijana...

Mkuu nadhani hakujua maana ya buriani
 
Ulimpigia kura wewe au ulimpigia buriani? Hukujua maana ya buriani na godbless ndo kosa lako hata aking'oa barabara zote arusha pakabaki vumbi tutampa kura zetu tu...happy new year kijana...
Umejikita kwenye ushabiki wa vyama, huwezi kuelewa kinachoongelewa hapa!
 
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge..


Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,

Maccm mlizoea ubunge mpaka uwe kigagula ndo uupate na uendr kwa kalumanzira ukachanjwe chale mwili mzima. Mtakoma bunge lijalo litakuwa na vijana zaidi wa upinzani na hawatatumia hata shilingi kuupata ubunge.

Tukirudi kwa Lema, kama ni mafanikio ya chadema hutaweza kuyataja bila kimtaja Lema. Huyu ndiyo aina ya watu walioleta hiki hunachokiona leo kama mafanikio ya upinzani. Hakuna mtu ambaye ccm wanamgwaya kama Lema hawajaamini macho yao mpaka sasa.

Kama kunamtu ayasitahili nishani kama upinzani wataingia madarakani mwaka huu basi ni Lema, he paid a sacrificial price for all of us! Wengine wamechangia lakini Lema amekuwa tayari kwa lolote bila kujali vitisho!

Siasa za upinzani huku Afrika zinahitaji watu waliojikana nafisi zao waliotayari kutangulia mbele za haki ili wengine wafaidike na baadhi ya watu hawa ni kama Lema. Hana elimu kubwa lakini ana ujasiri mkubwa.
 
Lema me nimpiga kura wako hila kwa hili nakuama na chama chako
 
kwa maaana hiyo!! unamtaka KINGUNGE NGOMALE ndie awe mgombea wa CCM ARUSHA?
 
Tumempigia kura sisi na tumeridhika atujawai lalamika mbona tulikuwa na mbunge msomali akitumia mashine za kufua nguo za wagonjwa. Akageuxa ars genge la mirungi tukapiga kelele hamjatusaidia
 
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge..

Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,

Sasa kwani kulalamika tu chama tawala hivi mara chama tawala vile hiyo nayo kazi? inamaana we ukipewa utashindwa?
 
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.

Si mnaambiwa maendeleo yatakuja hadi mkiwatowa ccm na kuwapa wao nchi,basi ndiyo mvumilie kama wenzenu Ubungo na shida ya maji.
 
Back
Top Bottom