Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mkuu Tafadhali.

Mimi ni mwanaume. Kashfa kama hizo zinazihidhihirisha kuwa umeshindwa kupambana na hoja, sasa unaleta vioja.

Lema ana Laana ya marehemu Chacha wangwe kwani anajua Lema ndiye alimrejesha kwenye mavumbi
 
ukitegemea mbunge atoe hela yake binafsi kuleta maendeleo huo ni uvivu wakufikiri mbunge ni muwakilishi wa kero za wananchi bungeni then budget ikifika wanaangalia sehem gani fungu lipelekwe maendeleo yafanyike lakini tukitaka kila ahadi anayosema mbunge itekelezwe basi atatumia mshahara wake na posho zake kuleta maendeleo jimboni
 
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.

Hata ukifanya nini jimbo la Arusha ni cdm na Lema, kamwe sisi wakaazi wa Arusha hatuwezi kulishwa maneno ya ma ccm .
 
Hayo maneno mbona waliokuwepo wanasema hakuyatamka? Sasa iweje wewe uko Lumumba usikie?
 
Yule housegirl photomee alikuja apa na hekaya zingine na wewe unakuja nahizi tena saiz!ebu kapikeni boss wenu ale waduanzi nyie
 
Mhe.Lema jirekebishe kumbuka siku zote watu ndiyo wanaokuinua pia ni watu ndiyo watakaokushusha, Heshimu watu, wathamini watu. Kibali kinatunzwa na mzizi wa kibali ni unyenyekevu na kabla ya maanguko ya mtu kiburi huinuka.

#GOODMORNING
 
ukitegemea mbunge atoe hela yake binafsi kuleta maendeleo huo ni uvivu wakufikiri mbunge ni muwakilishi wa kero za wananchi bungeni then budget ikifika wanaangalia sehem gani fungu lipelekwe maendeleo yafanyike lakini tukitaka kila ahadi anayosema mbunge itekelezwe basi atatumia mshahara wake na posho zake kuleta maendeleo jimboni

Tuache double standard, kwenye ukweli tuseme tusiogope.
 
bavicha typical...!

Unafahamu ahadi za lema kwa wapiga kura wake mwaka 2010?

Wakazi wa arusha tulimchagua baada ya kutuahidi kuwa atajenga machinga complex mbili pale ilipo stand kuu ya mabasi ya mikoani, na stend kuu ingehamishiwa kwangulelo, pia ahadi ya kujengewa hospitali ya mama na mtoto yenye swimming pool, iliwavutia akinamama wenzio wakampa kura lema...

Leo tunapohoji mrejesho wa ahadi hizo usibeze...!

...kigoma dubai kigoma tezi dume?
 
Na lema mwaka huu lazima aachie ubunge , siasa zake za udini na ukabila hazitamsaidia, ccm tutamweka mchungaji mwakasege agombee, tuone kama wachaga watampigia kura
 
Na lema mwaka huu lazima aachie ubunge , siasa zake za udini na ukabila hazitamsaidia, ccm tutamweka mchungaji mwakasege agombee, tuone kama wachaga watampigia kura

Siku zote mpumbavu akikosa sera atakimbilia kwenye udini na kabila.CCM imekufa mpaka fikra na si kichama tu
 
Na lema mwaka huu lazima aachie ubunge , siasa zake za udini na ukabila hazitamsaidia, ccm tutamweka mchungaji mwakasege agombee, tuone kama wachaga watampigia kura

Hata aje malaika kwa tiketi ya ccm,hatudanganyiki na hao wachungaji njaa wanaoweza kuuza thamani yao kwenye chama la kishetani kama ccm!
 
hivi mbunge ni msemaji au mtendaji??.....kama kusema anasema bungeni ila watendaji sasa wanaleta siasa wanajua wakitekeleza aliyoyasema lema ni crdt kwa chadem

We hujui kitu kumbe, Mbunge ni msemaji na mtendaji, kiingereza wanasemaga BOTH,hujamwonaga Mh Filikunjombe.
 
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.
Ndiyo maana Lema kagoma kuongea nanyi mnanini cha maana mpaka aongee na nyie wakati nyie ni sisimizi tu ndani ya chadema kwendeni zenu wasaliti wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom