Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mhe.Lema jirekebishe kumbuka siku zote watu ndiyo wanaokuinua pia ni watu ndiyo watakaokushusha, Heshimu watu, wathamini watu. Kibali kinatunzwa na mzizi wa kibali ni unyenyekevu na kabla ya maanguko ya mtu kiburi huinuka.

#GOODMORNING
Shard we ni GT sana lakini wanshangaza ck izi Kamanda,kwa ushahidi gani uliopewa kuamini hayo ni maneno ya Lema,from no where tu mtu aseme mimi sio saizi yenu.usiwe una ingizwa mkenge na kina Msalani
 
Mkuu Tafadhali.

Mimi ni mwanaume. Kashfa kama hizo zinazihidhihirisha kuwa umeshindwa kupambana na hoja, sasa unaleta vioja.

Unaandika kike kike,wivu wa kike umekujaa.
Sasa mbona hukanushi kuwa IST ulinunuliwa ?
 
Na lema mwaka huu lazima aachie ubunge , siasa zake za udini na ukabila hazitamsaidia, ccm tutamweka mchungaji mwakasege agombee, tuone kama wachaga watampigia kura

mwakasege akigombea nakuahidi zawadi....yule haezi kugombea usifikiri kila MTU mwanasiasa
 
Mimi ni m2 wa kaskazini nazijua fika tabia za watu wa kaskazini kwa mfano wakiwa na ndugu anayefanya kakazi ka kumfanya abadilishe mboga huwa huyo ataisha kwenye midomo yao mara oo jamaa anakula vizuri anatusahau ku.be masikini wa mungu anafanya kazi usiku na mchana ili angalau apate milo mitatu akikopa akajenga kabanda oo anajenga wakati sisi hatuna hata nguo za kubadilisha yaani ukiwasikiliza utapata shida 2 katika maisha yako na uelewe ni watu wasioridhika hata wakipewa. Mto mada analalamika eti lema kajenga gorofa jamani tuangalie je kwa mihangaiko yake asigeweza kujenga ha line za credit sio kuongea tu kisha iki mimi simuungi mkono jamaa aache mawazo ya kikaskazini afanye kazi asitegemee lema ataenda kumjengea. Na swala la muhutubia lazima awe na kibali cha polosi. Inaonyesha mtoa mada ndie aliyeandaa mkutano je aliomba kibali polosi atuwekee kibali hapa tukione ndio tujadili vizuri

Ooho Kumbe hizo ndo Tabia za kaskazini sio?
 
Laiti wabongo wangejua ni kwa jinsi gani Lema alivyo "Real" na kwamba mh Lema yupo accountable na maneno ama vitendi vyake.naamini Wasingemlaumu.
Japo naamini wale Wanaoumizwa na Mh. Lema watakuwa watu wenye jelous tu na pengine chama cha kijani. Hata hao wa kijani nitakuwa nawasingizia tu, kwani hata wao wanamkubali ile mbaya mhe. Lema na wengi wao walimpa kura zao. Wale wachache Wenye wivu na Mh. Ni kwakuwa hawana ujasiri alionao. Lema na Mhe. Mbilinyi Wana kitu Fulani Wana share. These two waheshimiwaz wako very real. Hawa ndio wa kupewa hii nchi. Uswahili tuache. Hawa wanapenda maendeleo ya kukimbia na sio kutembea. Tatizo hapa bongo wako watu, ili na wao wasikike wanajiingiza kukandia harakati hizi. Wanatafuta umaharufu kupitia kukosoa. Nani hajui hata Mandela. Nyerere alikosea lakini, watu wa harakati siku zote tunaangalia big picture.

Hicho kimkutano kimoja kisicho na maandalizi hakitoshi kuchafua heshima ya Lema, hata kama madai hayo yangekuwa na ukweli. Magorofa yake na Mali zake hazituhusu. Alichonacho lema ni kidogo kuliko kile mafisadi wanaiba. Heri mhe. Lema anakula vya halali. Tena tulipaswa kumheshimu kwakuwa anamajukumu mengi ikiwemo kujenga ghorofa lake. Sio kuleta mambo ya kutunga hapa huku unatumia ID feki! What a shame!?
 
Lema na Mbilinyi wanashare kitu gani zaidi ya Bange?
 
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge..

Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,
 
Bangi kitu gani kitu cha Arusha sio? Obama aliwahi vuta bangi na sasa ni president of United states of America.meanwhile ;
Robert Nesta "Bob" Marley alikuwa mtu wa "msuba". Tena watu wanamezea tu alikuwa ana
Loby watu wavute.Lakini anatambuliwa kama Mwanafilosofia kama wakina Nyerere, Karl marks etc.
Maradona ametumia sana sembe lakini akapewa hadhi ya kuwa kocha wa taifa. Hata Pele hajaweza. What is bangi after all.?
Utarudisha nyuma maendeleo kwa kuthaminisha
Mazombie.
ambao wanajua uswahili tu na blah blah kibao miaka Zaidi ya hamsini.

Lema na sugu ni majanki hasira zao na spidi ni kwakuwa damu zao zinachemka. Mi naona kila wanapoongea wanatema madini tu. Pia wana guts yaani hali ya uthubutu kuliko waswahili .Nakushangaa wewe umekuwa kipofu na kiziwi. Chukia hiphop lakini hawa waheshimiwa wako vizuri sana mkuu
 
Mkuu Tafadhali.

Mimi ni mwanaume. Kashfa kama hizo zinazihidhihirisha kuwa umeshindwa kupambana na hoja, sasa unaleta vioja.

Wewe mjinga hewa......wanaume hawaongeagi kipumbavu kama unavyotoa mapofu hapo,kichwa kubwa akili hewa.......nyau weee!
 
Bangi kitu gani kitu cha Arusha sio? Obama aliwahi vuta bangi na sasa ni president of United states of America.meanwhile ;
Robert Nesta "Bob" Marley alikuwa mtu wa "msuba". Tena watu wanamezea tu alikuwa ana
Loby watu wavute.Lakini anatambuliwa kama Mwanafilosofia kama wakina Nyerere, Karl marks etc.
Maradona ametumia sana sembe lakini akapewa hadhi ya kuwa kocha wa taifa. Hata Pele hajaweza. What is bangi after all.?
Utarudisha nyuma maendeleo kwa kuthaminisha
Mazombie.
ambao wanajua uswahili tu na blah blah kibao miaka Zaidi ya hamsini.

Lema na sugu ni majanki hasira zao na spidi ni kwakuwa damu zao zinachemka. Mi naona kila wanapoongea wanatema madini tu. Pia wana guts yaani hali ya uthubutu kuliko waswahili .Nakushangaa wewe umekuwa kipofu na kiziwi. Chukia hiphop lakini hawa waheshimiwa wako vizuri sana mkuu

maharisho kama kawaa
 
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.

Acha wivu wa kike. ...aliyepata amepata by lowasa
 
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge..

Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,

Ni kweli kwa kuwa kwenu sifa kuu ya wabunge na viongozi wenu ni lazima awe fisadi tena mwenye uzoefu kwa hao uliowaorodhesha hawanazo. La kujua ni kuwa m-bunge mmoja kati ya uliowataja ni sawa na wabunge wenu hamsini. Kwa taarifa yenu mnaotegemea kuanzia mleta uzi hadi nyie wachangiaji mnaolipwa Lumumba kwa michango yenu ni kuwa Lema ni mtu wa watu na hawezi fanya ujinga mnaojaribu kuuza jamvini hapa. Acha kumsimamisha Mwakasege ambae naamini hawezi kukubali hata mngemsimamisha Kinana kwa Arusha wala chadema hawatakuwa na haja ya kufanya kampeni. Kwa Arusha Lema ni kila kitu.
 
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.

mkuu uandishi gani huu kama vile u.me.pa.ka.twa
 
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge..

Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,

The the teh
 
ccm wameufanya urais kuwa kitu rahisi
 
ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa rais
 
BAVICHA Typical...!

Unafahamu ahadi za LEMA kwa wapiga kura wake mwaka 2010?

Wakazi wa Arusha tulimchagua baada ya kutuahidi kuwa atajenga MACHINGA COMPLEX mbili pale ilipo Stand kuu ya mabasi ya mikoani, na Stend kuu ingehamishiwa Kwangulelo, Pia ahadi ya kujengewa Hospitali ya mama na mtoto yenye swimming pool, iliwavutia akinamama wenzio wakampa kura LEMA...

Leo tunapohoji mrejesho wa ahadi hizo usibeze...!

Ulimpigia kura wewe au ulimpigia buriani? Hukujua maana ya buriani na godbless ndo kosa lako hata aking'oa barabara zote arusha pakabaki vumbi tutampa kura zetu tu...happy new year kijana...
 
Back
Top Bottom