Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?

Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi

Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

vipi unataka akufanyiziw kamalivyo kufanya kule uk.. hivi bado hujajifungua tu..
 
We gamba acha upumbavu embu tuache sisi tulomchagua na tunajua alichotufanyia mpaka sasa.

ARUSHA tunampenda Lema na kamwe hatutamchagua mwingne zaidi ya Lema.
Umefanywa nn na lema? Weka wazi mkuu.
Cc.
kameruni
 
Kama ni kweli, hiyo ni kawaida kwa wabunge wengi wakishashinda wanasahau ahadi zao. Nimekumbuka ile ya Mr. Politician by Nakaaya!
 
jibuni hoja sio kujifanya hamuoni kinacho zungumziwa....haya hata kama angeitwa godfrey ndo kingebadilisha hicho alichokiogea ? amkeni nyie

.
.
.
.
si ndio maana nikauliza mahakama ya kadhi tayari kuiingiza katika katiba?
 
Mmmmmh!
Heb niwakumbushe mambo haya.
1.tuache ushabiki bali busara na hekma vituongoze
2.umoja na mshikamano viwe dira na ngao yetu.
3.haki iletayo aman tuitafutie fursa.
4.tupeane elim ili kupunguza au kuondoa utajiri wa ujinga ulio pumbaza jamii ya kitz hadi kushndwa kuunganisha matukio.
MWISHO JAPO SI HABA,
Enz za omary nundu,alisifia wizara ya uchukuz japo ilkua imejaa rushwa na kla aina ya ulaghai,mwenzake kaja na ufanis thabit,je nundwe amejionea uwezo wake mdogo na dhaif.
Ahadi kbao zmetolewa na wanaserkal lakn AHAAAAA WATZ HATUON hatuon.tumekomalia wapnzan wanao fanyiwa zengwe kla kuchao hasa hasa kuwaonyesha wtz ati wapnzan nivisiki,ati ccm ni nuru,WIZI MTUPU
.
 
Lema kajenga barabara ipi kweli? Kweli hujitambui mkuu.

Lema aliahidi kujenga barabara za town kwa kiwango cha lami na imekuwa. Sijitambui kivipi mkuu?
Huyu ndiyo mbunge wa wananchi wa jimbo la Arusha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Haya ni yale yale ya kiwia kununua gari la wagonjwa na kuandika jina lake.

Kikinuka analipiga mstari linafanya daladala, CHADEMA hawafai kabisa! Mwalimu nyerere alisema wanasiasa wa dizaini hii tuwaogope kama ukoma!
 
Lema aliahidi kujenga barabara za town kwa kiwango cha lami na imekuwa. Sijitambui kivipi mkuu?
Huyu ndiyo mbunge wa wananchi wa jimbo la Arusha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Lema hakuwahi kujenga barabara, barabara zimejengwa kwa msaada wa benki ya dunia!
 
Lema hakuwahi kujenga barabara, barabara zimejengwa kwa msaada wa benki ya dunia!

Sasa kama aliahidi kujenga barabara kwa kiwango cha lami, halafu WB wakatoa msaada wa kujenga barabara zetu unataka kusema ni ahadi za benki ya dunia kwenye mkutano wa ccm?
Acha ufala mazee hiyo ndo kazi ya mbunge aliyechaguliwa na wana Arusha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hiyo ilikuwa kama chama kingeshinda kwenye mipango ya chadema arusha,stendi inge hamishwa
..juu la kuwasaidi akina mama hilo linaendelea,hospital eneo limeshapatikana lenye ukubwa wa heka nne michoro inaendelea..
Kwahiyo hakuna cha Machinga Complex tena, kwa sababu chama hakikushinda?
 
Back
Top Bottom