Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,664
- 272,496
kingine kilichonisisimua kwenye uzi huu ni jina lako !
Halafu katoka na mpya ya kuweka umeme shule zote za Sekondari za Kata! Heri awe anasafiri na kukaa huko nje, maana akishinda hapa nyumbani haishiwi vioja.
Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?
...msalani=chooni=kiny.esi...ptuuu..!
wahi buku zako saba lumumba,lema mpaka aseme basi tutamchagua hata asipofanya chochote mbulula ww aliyekutuma mwambie leo sio saizi yake.mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
Cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga machinga complex kubwa katikati ya jiji la arusha
- kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Chadema na lema acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
muulizeni LEMA ile machinga complex vp?
jibuni hoja sio kujifanya hamuoni kinacho zungumziwa....haya hata kama angeitwa godfrey ndo kingebadilisha hicho alichokiogea ? amkeni nyieDuh!
Jina lenyewe MSALANI!! Ngoja nikalale mie.
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
Huyu mtoa mada nina mashaka nilimwona, maana nilikuwa nimekaa mahali na watu kama watano akiwemo diwani moja. Anyway, labda mawazo yao yalifanana.
Katika mazungumzo yetu tulikuwa tunajadili maendeleo ya chama, then jamaa moja kaongelea hii mada ya ahadi za Lema, tena kazungumzia kuwa miaka mitatu imepita hakuna kitu. Japo nilimjibu pale inabidi nirudie hapa.
Hivi miaka mitatu unayozungumzia kwa Lema ni ipi? Lema alivuliwa ubunge, akakaa nje ya bunge almost miaka miwili, yote haya yamesababishwa na serikali ya ccm.
Kuna mambo mengi na muhimu ambayo Lema ameyafanya nchi hii ambayo ni muhimu kuliko ahadi za ubunge.
Kuwapatia watanzania ukombozi wa fikra, ambao umewafanya watanzania wengi wajitambue ni jambo kubwa kuliko Machinga Complex, ni kubwa kuliko ArDF
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Lema aliahidi Machinga Complex na kuihamishia Stendi kuu Pale KWA-NGULELO! mahakama ya kadhi ni JK anzisha thread yako, hii unamuhusu huyu Kamanda wa Chadema!