MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
- Thread starter
- #41
Muulizeni ole sendeka ilipo chuo kikuu SIMANJIRO.
Muulize LEMA wapi iliko Machinga complex ataanza "DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE DUNIANI NI UOGA"!!!!!!
Muulizeni ole sendeka ilipo chuo kikuu SIMANJIRO.
Tunazungumzia ahadi za Lema na Sio za KIKWETE, back to the topic!
Kama kuna mtu ambaye anaamini kuwa chadema italeta maendeleo anajidanganya.
Lema aliahidi Machinga Complex na kuihamishia Stendi kuu Pale KWA-NGULELO! mahakama ya kadhi ni JK anzisha thread yako, hii unamuhusu huyu Kamanda wa Chadema!.
.
.
na mahakama ya kadhi je?
KWELI KABISA Simiyu Yetu , Lema alitudanganya wana arusha wazi wazi! Badala ya kujenga MACHINGA COMPLEX kajenga li-bungalow kule Njiro!
Mkuu LEMA alisimamishwa ubunge kwa miezi nane tu, na sio miaka miwili kama unavyodai! halafu Kumbe mgombea mbunge akitoa ahadi halafu Chama chake kisipochukua dola ahadi zinapotelea hewani?
Mungi , ile trekta iko wapi?Ahadi zake za kibunge zinatekelezeka zote, tena nyingi ameshazitekeleza. Aliahidi kuboresha barababra za jiji na kweli zimetekelezwa. Ahadi za Lema zinatekelezeka ccm mkiacha kumpotezea muda kwa kumfungulia kesi za ajabu ajabu ili ashindwe kutekeleza majukumu yake. Bahati nzuri watanzania tunaona, hivyo msidhani ccm mtashinda tena Arusha. Subirini kivumbi chenu mwakani kwenye serikali za mitaa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu tatizo la lema ni mwanaharakati wala siyo mwanasiasa kwa mantiki hiyo mwanaharakati daima hajui kupata ufumbuzi wa mambo ila anaweza kuyaona matatizo na kuishia kulalamika pasipo na suruhu toka kwake.KWELI KABISA Simiyu Yetu , Lema alitudanganya wana arusha wazi wazi! Badala ya kujenga MACHINGA COMPLEX kajenga li-bungalow kule Njiro!
Lema kajenga barabara ipi kweli? Kweli hujitambui mkuu.Ahadi zake za kibunge zinatekelezeka zote, tena nyingi ameshazitekeleza. Aliahidi kuboresha barababra za jiji na kweli zimetekelezwa. Ahadi za Lema zinatekelezeka ccm mkiacha kumpotezea muda kwa kumfungulia kesi za ajabu ajabu ili ashindwe kutekeleza majukumu yake. Bahati nzuri watanzania tunaona, hivyo msidhani ccm mtashinda tena Arusha. Subirini kivumbi chenu mwakani kwenye serikali za mitaa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Lema aliahidi Machinga Complex na kuihamishia Stendi kuu Pale KWA-NGULELO! mahakama ya kadhi ni JK anzisha thread yako, hii unamuhusu huyu Kamanda wa Chadema!
Tuliliuza na pesa tulioipata tulitumia kumuuguzia mama yako yale maladhi ya unyafuzi yaliyosababishwa na wizi wa maliasili wa serikali ya maCCM!Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?
Kwa sasa lema wamemchoka ndiyo maana hata kundi lake la bijana wale anaowatumia wameamua kumfanyia kile walichoona kinafaa baada yankuchoshwa na mambo yake.
,kajipange upya
Tuliliuza na pesa tulioipata tulitumia kumuuguzia mama yako yale maladhi ya unyafuzi yaliyosababishwa na wizi wa maliasili wa serikali ya maCCM!
CCM kutokomea Arusha kunamsaidia vp mwananchi wa kawaida ambaye hana chama?
Hujajibu swali zaidi ya kumtukana mama yangu, Trekta liko wapi sasa?
Liko kwa mnunuzi, kamuulize mama yako ambaye amekosa shukrani kwa msaada aliopewa!Hujajibu swali zaidi ya kumtukana mama yangu, Trekta liko wapi sasa?
nilichokuwa nasemea siyo ahadi zake kumezwa na ukombozi, bali muda uliotaja hauendani na uhalisia.
Lema alikuwa nje ya bunge takriban miaka miwili. Hata hivyo imani ni kwamba ahadi za lema zinatekelezeka, siyo trekta na machinga complex pekee, bali kuna mengi ambayo hayakuwa kwenye ahadi zake atazitekeleza kabla ya 2015.
Lakini pia utambue kuwa baadhi ya ahadi nyingi za chadema na lema zilitegemea endapo chadema wangeshinda uchaguzi, hivyo unapozungumzia ahadi za lema ambaye chadema haikushinda uchaguzi mkuu unatakiwa ujaribu ku refer kwenye ahadi za dr. Slaa. Maana watu wenye upeo mdogo wanaweza kumdai slaa alizoziahidi wakati wa kampeni
sent from my blackberry 9780 using jamiiforums