Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Ilani aliacha wapi wakati anakata mauno?
Angeishika kulia ingekuwa safi sana
Ilani aliacha wapi wakati anakata mauno?
Mke wake alifarikiHivi Kangi Lugola ana mke na watoto kweli? Mbona anayoyafanya ni aibu kwa jamii? Watoto wake wanamwonaje huyu babu?
[emoji28] [emoji28]Angeishika kulia ingekuwa safi sana
Mkuu umepotea sana tangu mara yamwisho tumeonanaAngeishika kulia ingekuwa safi sana
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah huyo dada huo mdomoLugola anapenda kuyarudi
Hiyo ni Hobbie ya watu kucheza[emoji23][emoji23]
Ninja kazini
Ova
Hahahah huyo dada huo mdomo
NinjaaaaLugola anapenda kuyarudi
Hiyo ni Hobbie ya watu kucheza[emoji23][emoji23]
Ninja kazini
Ova
Dah yani mimi sijawahi kufanya hayo na sina hata cheo cha uwenyekiti wa mitaa,sisemi ningekuwa waziri ...?Ila lugola Hana mshipa wa noma
Ova
HahaahahahsHalafu kama anarich orgasm vile
[emoji23]Angeishika kulia ingekuwa safi sana
Popote alipo mpeni salamu
Sasa hivi anavua sangara huko kwao