Hapa solution ni sanduku la kura 2020 over, kwani hizo kesi unazosikia watu wanashitakiwa wanakosa?
Mkuu umenena. He who laughs best laughs last.
Sasa hivi waache wacheke sana tu tena wadhanie tunawashangilia.
Hapa solution ni sanduku la kura 2020 over, kwani hizo kesi unazosikia watu wanashitakiwa wanakosa?
Kwani awajapewa malengo kwa siku kila MTU waingize bei gani,kama ni hivo je hawawezi kujiongeza kubuni no yeyeto ili hesabu itimie.Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
Ile chai si bureulichoandika ni kama utani lakini nahisi ndio uhalisia wenyewe
Zama za Mpinga labda akafanyiwa Figisu kumuhamisha,yeye alipinga visivokuwa sawa.Hapo muhimu ni kutafuta tu faini uliandikiwa wapi? Traffic gani aliyeandika then watoe ushahidi hapo. Pole mkuu
Hebu google,au andika kwenye map.ndio na mm nashangaa mkuu ni sehemu ambayo hata sijawahi kufika
Sanduku la kura haliamui mshindiHapa solution ni sanduku la kura 2020 over, kwani hizo kesi unazosikia watu wanashitakiwa wanakosa?
Kama gari ulinunua kwa mtu hapo lazima kuna faini zitakuhusuHabari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
Sio utani huo mimi nijikuta nalipa 60 elfu gari lilikuwa gereji hamna namba ya leseni wala mahali lilikamatwa kosa failing to stop. Wala haijulikani wapi. Ila jasho la mtu haliliwi. Dawa yao inachemka jikoni kama kile mwenye mashine ya kulipa amepewa goli bora wakalime. Wengi mtawaona na mishipa barabaraniulichoandika ni kama utani lakini nahisi ndio uhalisia wenyewe
Mkumbushe huyoSanduku la kura haliamui mshindi
ndio na mm nashangaa mkuu ni sehemu ambayo hata sijawahi kufika
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
Maelezo yako yana ulakiniHabari wakuu,

Asante mkuubasi piga *152*75# then fuata maelekezo