Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Hebu tuache uongo huyo Ngalai, Salakana, Mramba mbona wasizitengeneze hizo barabara?
Mrema mwenyewe msikilize hiyo kesho mambo aliyomsifia JK kwenye jimbo lake la Vunjo leo hii hasa kwa kuchaguliwa Diwani
Unajua tatizo lwa wachagga hasa upro CDM mnaona kila kitu ni kibaya na ni halali yenu kupatiwa bure lakini ni wivu mtupu kuna barabara ya kuunganisha Marangu Mtoni mpaka Mwika ni miaka inasumbua na kodi zinatolewa mbon ahaiishi? au ile ya Kilema Kirua
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.
Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"
Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012
kweli wewe ni narrow thinking
Ninakubaliana na wewe kwa 800% kama si Dr Slaa kumsifia JK kwenye msiba wa Regia Mtema chai ya jioni na kachori ikulu asingeipata milele.
Pamoja na kwamba wametofautiana kisera, lakini JK ndiyo Rais wa nchi hii kwa wachache waliomchagua na wengi ambao hawakumchagua. Kikatiba anahitaji kuheshimiwa na kupongezwa kwa yale mazuri machache aliyotenda......
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.
Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"
Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012
Selasini kwa walio nje ya Kilimanjaro ni bora mjue kuwa ametengwa na ukoo wake mwenyewe, amefukuzwa nyumbani kwao sasa analala kwa vimada wake, amekitelekeza chama wilayani na chama kimemtelekeza! Yaani CDM 2015 hata mkiweka jiwe litapata kura, ila mkimweka huyu 30 mmeuza jimbo kilaiiini!
Hapo ndipo unapogundua kati ya wanasiasa wakomavu na wanasiasa wa majungu. Ningekuwa mimi Mwenyekiti wa CDM angekuwa ZITTO KABWE, katibu mkuu Joseph SELASINI na katibu mwenezi angekuwa SHIBUDA kwa sababu hawa ni wanasiasa wa kweli
Mimi naamini siyo siku nyingi watu wataanza kujua ukweli na uongo. JK amesemwa sana lakini Mungu sasa ameona imetosha na ameanza kumpigania kupitia shuhuda za wapinzani. Ni juzi tu Kaimu kiongozi wa kambi ya upnzani bungeni naye amenena kuwa JK ni mchapa kazi na anaangushwa na watendaji wake. Wakati umefika sasa watendaji hawa wajirekebishe na kulipa fadhila za teuzi zao kwa kutomwangusha Rais JK, Rais pekee anayefanyakazi katika mazingira magumu ya gilba, majungu, wivu, chuki binafsi za baadhi ya wanasiasa, hujuma na na upotoshaji. VIVA JK.Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.
Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"
Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012
Huyu Selasini ni sawa tu na Masumbuko Lamwai matapeli zandiki ndumilakuwili.
Kaanzishe Chama chako....Tangu lini adui akatuchagulia silaha za kuwapiga nazo
Umeonae. CDM bwana , kwa falasafa yao hii ya kuwa Mwanachama wao safi ni yule anayeikashifu Serikali, kubeza kila jema lililofanya na Serikali, Upadre wao na ukabila pamoja na kufitinisha Serikali na wananchi wake kama ambavyo wanavyomtumia MABERE MARANDO hakika hawatafika mbali.Poor comment!