Mh. JK utaua

Mh. JK utaua

komedi

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
204
Reaction score
17
Nina rafiki yangu ni waziri katika serikali ya Mh JK. Wiki iliyopita nilipishana na gari lake kwenye majira ya saa tisa usiku nikashangaa. Nilipompigia simu kumuuliza kulikoni na gari ya serikali usiku wote huo akadai kuwa imebidi arudie enzi za chuoni.

Alidai kuwa anatokea prepo, kujiandaa na UE.(University Exam), nikamuuliza kama ameanza kusoma tena, akadai kuwa si kwamba anasoma bali Mh JK anatembelea wizara yake siku inayofuata.
 
Hehehe hii kali sana ila ajue kuwa ng'ombe hanenepi siku ya mnada

Ila anaongezeka uzito walai na wingi wa mavi-watu wakiona anakunya sana wanajua yes! ngo'mbe kalishwa vizuri huyu!
 
Nina rafiki yangu ni waziri katika serikali ya Mh JK. Wiki iliyopita nilipishana na gari lake kwenye majira ya saa tisa usiku nikashangaa. Nilipompigia simu kumuuliza kulikoni na gari ya serikali usiku wote huo akadai kuwa imebidi arudie enzi za chuoni.

Alidai kuwa anatokea prepo, kujiandaa na UE.(University Exam), nikamuuliza kama ameanza kusoma tena, akadai kuwa si kwamba anasoma bali Mh JK anatembelea wizara yake siku inayofuata.

hahaa nimeipenda eltora ngombe hanenepi siku ya mnada lakini anashiba.
 
Ila anaongezeka uzito walai na wingi wa mavi-watu wakiona anakunya sana wanajua yes! ngo'mbe kalishwa vizuri huyu!

ha ha ha hahahaha......yaani wewe utakuwa umedatorum!!!
 
Back
Top Bottom