Mh jamani nisijekufa msaada plz!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Nimeunganisha laptop na subwoofer ila tangu juz kila nikiguza button za boofer kama kuongeza saut wakati nimeconect na laptop button hiz za boofer zinanishtua na short hv hii short inatoka wap na nin nifanye?
 
mkuu hiyo woofer yako sio mchina kweli na kingine angalia socket yako kama iko poa haina shoti..
 
Wale 2lio soma physics 2nasema unaposhika woofer yako huku umekanyaga chini unacomplete circuit then electric current inaflow inavyoonekana hiyo woofer ina short ambayo ni ndogo so be carefull m2 wangu.
 
Mfumo wa umeme kwenye switch soket yako hauna earth lodi!
Hivyo mtafute fundi akurekebishie! Ni tatizo dogo lakini linamadhara makubwa!
 
Mwambie fundi akuwekee Earth kwenye subwoofer! Kama ni 2pin plug dats da prblb kama ni 3pin plug Earth wire wa Earth utakuwa na prblm!
 
Ok nimewapata wakuu ila kuna kitu nimegundua ntaomba pia maoni ni kwamba nikichomeka ile charger ya laptop short inakuwepo nikiitoa na short haipo sasa huenda hii charger ya laptop ina output voltage kubwa (coz ni 18.5v) so inazizid kwenye woofer.huo ni mtazamo wangu sijui mnaonaje hiyo wadau?
 
Hapo ujue umeme unahama kutoka kwenye lap top mpaka kwenye buffer na Kama laptop yako ingekuwa na bati ambalo linapitisha umeme basi ungekuwa unapigwa shoti hiyo??
Mbona hiyo ipo sana hata kwenye deki na dvd au hata vingamuzi sema kam utakuwa umevaa viatu unaweza usiisikie
 
dah mkuu hapo umemaliza kila kitu thanks 4 ua perfect contribution.
 
dah mkuu hapo umemaliza kila kitu thanks 4 ua perfect contribution.
Angalia pia kama earth wire inafanyakazi vzr au kama ipo, laptop yako ina pini ngapi za kuchomeka kwenye umeme kama zipo tatu earth ipo kama ni mbili earth wire haipo.
 
Angalia pia kama earth wire inafanyakazi vzr au kama ipo, laptop yako ina pini ngapi za kuchomeka kwenye umeme kama zipo tatu earth ipo kama ni mbili earth wire haipo.

mkuu nadhani unaongelea pin za kwenye power cable/charger ya laptop kama ni hyo ina pin 3.
 
Back
Top Bottom