Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Ndugu mtangazaji, nimefadhahika sana kumsikia mh Hamad, anaunga mkono swala la posho za wabunge.
Ananipa mashaka na nia yake yakutaka kuwa kiongozi mkubwa kama katibu, kuwa lengo lake bado ni maslahi binafsi.
Ananipa mashaka na nia yake yakutaka kuwa kiongozi mkubwa kama katibu, kuwa lengo lake bado ni maslahi binafsi.