Source ni UHURU na HABARI LEO. Habari hii ni ya kutunga -- na kama ni kweli basi CCM iliwalipa vijana kurusha mawe na halafu haraka kupeleka habari katika hayo magazeti yao ambnayo habari kama hizo huziandika tu bila kufanya independent confirmation.
jana au juzi magazeti hayo mawili yaliandika habari za Mrema na Prof yule wa Pumba wakimponda Dr Slaa. Hakuna magazeti mengine yaliyoandika habari hiyo ambayo ilitokana na waandishi wao kuagizwa kuwahoji wawili hao kuhusu mikakati ya CDM Nyanda za Juu Kusini na ambao hawakutarajiwa kuisifia CDM na Dr Slaa hata kidogo kwa jinsi wivu wa kike ulivyowajaa.
Hayo magazeti mawili sasa hivi yanakwenda kivyao -- yamekaa kama vile 'Jokers' in the pack of cards!