mkuki moyoni
Senior Member
- Apr 29, 2011
- 116
- 5
lema kama hutabadilika utaishia hapo dogo, yani hujui hata wapi pa kuongelea hayo maneno?
uko sahihi kuwa arusha hakuna meya wa haki, ila wewe unadhani kuropoka msibani habari hizo ni sehemu sahii?
usipobadilika huna maisha marefu kwenye siasa dogo....usikurupuke kwa makofi ya jukwaani, bado unasafari ndefu sana.
mwisho wa siku tutakuuliza hamasa unazofanya zimesaidia nini kwenye miradi ya jimbo, wewe piga hamasa zako kwani huna uwezo wa mezani na kuchambua mambo ila kwa hamasa unaweza, sasa tumia wataalamu wakusaidie mambo mengine, unaona usivyokuwa na maaili kbisa