Mh. G. Lema achafua hali ya hewa mbele ya Askofu Laizer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. G. Lema achafua hali ya hewa mbele ya Askofu Laizer

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MVUMBUZI, Jun 12, 2011.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hii imetokea leo tarehe 12/6/2011 saa 9.00 Katika Ibada ya mazishi iliyokuwa ikiongozwa na askofu Laizer, Msaidizi wa askofu na wakuu wa majimbo katika Usharika wa KKKT Kijenge mbele ya mbunge wa Ngorongoro na M/Kiti wa CCM mkoa.

  Katika Ibada hii alikuwepo Gaudence Lyimo embattled Meya wa Arusha na hapa ndipo drama ilipo anza pale Lema alipoambiwa atoe salaam za rambirambi kwa maelfu ya waombolezaji kutoka maeneo mengi ya manispaa ya Arusha akiwa msemaji wa mwisho. Baada ya salaam zake zilizojaa hekima na Busara aliwaonya wombolezaji na haswa MC aliyekuwa anamtaja taja Meya wa manispaa ya Arusha. Alipokuwa anamalizia akasema" nasikia mtu anayetajwa tajwa kama meya wa manispaa Arusha hapa; ninaomba mtambue kwamba mpaka sasa arusha hatujamchagua Meya na hatuna Meya". Hali hii iliwafanya vijana kushangilia huku Askofu laizer akabaki akiwa anatazama kana kwamba anasema' NO COMMENT'.

  Hakuna aliye dilute maneno ya Mh. Lema kwani MC alichuku mic na kuendelea kuwatangazia watu utaratibu uliokuwa unaendelea huku minunguno ikitawala kwa kila mtu kutoa mtazamo wake kuhusu statement ya mh. Lema. wengine walimsifu kwa kuwa jasiri na wengine wakasema ameharibu. Je wewe mwana JF unasemaje kuhusu hiyo statement ya Lema.

  Ibada hii ilikuwa ya mazishi ya Mkurugenzi wa kampuni ya Mbogo expedition Ltd ndugu Godwin Elihuruma Moleli a.k.a.Mbogo( 1975-2011) aliyefariki kwa kupata ajali mbaya ya gari usiku wa tarehe 9/6/2011 maeneo ya Moshono Manispaa ya Arusha
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama Askofu Laizer: No COMMENT! Though they say a No Comment is a comment.
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Well done G.lema, kasema ukweli coz huyo mc alikuwa na kimbelembele. thumb up!
   
 4. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  sijaona alipochafua alichosema ni kweli akuna meya arusha labda ingechafuka angenyanyuka mtu akasemaakuna mbunge wangejua marehemu alikuwa nani
   
 5. notmar

  notmar Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hajakosea,kwani amechaguliwa kwa ajili hiyo(kuchafua hewa)hata kule bungeni kuna hewa nzito sana kutokana na vitu anavyo achia.problem ni nani anafaidika na kazi yake hii aliyojipa(ya kuchafua hewa)nafikri hajajitambua uzito wa nafasi yake ktk jamii.ajirekebishe na afanye kazi kwa ajili ya wana arusha si kuchafua hewa kila anapopata nafasi ili kujipatia umaarufu bazoka.(cheap popularity)
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi.....
  Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans.
  Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.
  Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
   
 7. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  cha kukomment hapa ni kwann Gaudence lymo kajipeleka kwa nafasi ya meya wakati anajijua bado meya hajachaguliwa?
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kamanda kafanya poa sana. Hawa magamba wanapaswa kuambiwa ukweli ktk yote!
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280

  Lema is HERO na ndiyo maana watu walishangilia na kama wangechukizwa na alichosema au Viongozi wote wa dini including askofu angechukizwa na alichosema basi angesimama na ku- intervene lakini kwa sababu Laizer anaujua ukweli na majority of Arushans ndo maana walishangilia. Yeye anatuwakilisha and we Love HIM kwa kuwatimulia vumbi CCM wezi wakubwa mpaka leo tuna wadai roho tatu za watu wetu.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani huyu ndo angefaa awe spika wa bunge maana hana muda wa kuuma uma maneno!!!
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  g Katika hatua nyingine ndani ya ibada ni pale M/Kiti wa CCM mkoa aliposema marehemu alikuwa mstari wa mbele katika ku- support Chama lakini aliposimama Mh. G. Lema yeye akasema amekuja kwenye msiba kwa sababu Mbogo alimchnagia kwenye kampeni. Pia Mh. Lema akasema Mbogo ali support mfuko wa maendeleo wa jimbo la Arusha(ArDF) ambao uli asisiwa na Lema. Which is which ?

  M/kiti wa CCM mkoa anadai Marehemu alikuwa mstari wa mbele kwenye Chama cha Magamba. Mh G. Lema anasema marehemu ali kuwa supporter mzuri wa CHADEMA.

  Nani mkweli hapa?


  Ila sikuona nguo za rangi ya matawi kuonyesha kwamba huyu jamaa hakuwa CCM kwani mtu wao akifariki huwa mstari wa mbele kuja na nguo za rangi ya majani na bendera yao mbaya.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Watu wa Ar wepi hao unaowasemea wewe?? Acha kusingizia watu wa Ar, Lema ni shujaa wetu, hajatuchosha! Na hatujamchoka. Koma, koma na tena koma kuisemea mioyo yetu. Kama umekosa cha kuchangia sio lazima uandike uongo hapa! Shame on you Kishongo!
   
 13. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  karibu JF

  Tiba
   
 14. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukweli lazima uwekwe wazi na umma uujue na si ulaghai kwa jamii. Amesema sawa kwamba hakuna meya na huo ndo ukweli na hamna aliyepinga hilo
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu kinachonichefua kama wanasiasa wanapokuwa ktk misa au sala, kuanza kuleta habari za siasa. Nimemsoma Mkapa majuzi akizungumzia maendeleo hayataletwa na viongozi bali wananchi wakati wa ibada za kikristu ili mradi tu kutaka kufanya sehemu za ibada kama ni majukwa ya siasa.

  Jamani Vingozi wetu acheni hizi siasa ktk sehemu za ibada, fanya kilichokupeleka pale na kama una matatizo na ibada hiyo ondoka. Acheni kuchagnganya vitu, huu mchezo wa kutumia majukwa ya dini kujenga hoja zenu za kisiasa...
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Anza kujirekebisha wewe! Na uache tabia ya kudandia gari kwa mbele cz ni hatari kwa maisha yako!
   
 17. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Its so sad about Mbogo, alikuwa mdogo lakini aliyeweza kujua kutafuta pesa na kukuza uchumi na mbaya zaidi alikuwa anatoka kwenye maandalizi ya mazishi ya business partner wake Mzee Mallya, nawaombea Mungu waliobaki waweze kuendeleza alivyoacha, his hotel was almost over and had lot of things to do but God's time was ready very sad.

  its good to know when and where to speak something. mimi ni supporter wa chadema but kuna heshima ya msiba, hata kama mtu ni adui yako kuna wakati wa kujidai humuoni.
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Ina maana kibaka akikuibia ukiwa kwenye msiba utacheka naye kwa sababu ya heshima ya msiba?
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  we koma kutusemea watu wa arusha kamsemee mamaako,mmeo,babaako kifupi isemee familia yenu..
   
 20. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huwezi kucheka naye lazima umpe anachostahili lakini hapa ni tukio tofauti kabisa kwa hiyo kama wewe baba yako amekufa na wewe na kaka yako mna ugomvi basi mpigane wakati wa kuzika kuonyesha hasira zenu?
   
Loading...