Ina maana kibaka akikuibia ukiwa kwenye msiba utacheka naye kwa sababu ya heshima ya msiba?
tusime ukweli angekua baba yako ungevumilia hizi siasa hawajaalikwa pale kwenye mazishi kwa sababu za kisiasa ni kwa sababu kila mmoja kwa nafasi yake alimfahamu marehemu na hilo ndo lililokuwa limewapeleka pale si siasa basi wakikutana barabarani wasipishane kila mtu alete ubabe tuone au wapeni visu kila mtu amchome mwenziwe
sikuwahi kujua kama una hasira kiasi hiki, haaaaaaah.we koma kutusemea watu wa arusha kamsemee mamaako,mmeo,babaako kifupi isemee familia yenu..
sijaona alipochafua alichosema ni kweli akuna meya arusha labda ingechafuka angenyanyuka mtu akasemaakuna mbunge wangejua marehemu alikuwa nani
Unamuona Lema kama si kiongozi mzuri kwa sababu umezoea viongozi wanafiki wanosema YES panapo takiwa kusema No. Pole sana kinachokupa shida zaidi ni expectations zako kuwa hayo anayosema Lema yanapashwa kusemwa wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2015... typical CCMGet it Lema si generation yako in all wises. Ni vizuri ukaconcentrate na mambo mengine cause this young man will continue to be a pain your ass.Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi..... Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans. Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
Kishongo unatokota kinoma, jumapili usiwe unacoment jf uwe unafanya j-3Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi..... Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans. Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
Hakuna "embattled Meya wa Arusha." Embattled mayor ni mayor aliyechaguliwa lakini amekumbwa na matatizo au kashfa baada ya kuchaguliwa. Gaudence Lyimo sio "embattled mayor" kwa sababu Arusha hakuna mayor.Katika Ibada hii alikuwepo Gaudence Lyimo embattled Meya wa Arusha...
Ktk comment zako zina-suggest kuwa ww ujaenda shule contrary na unavyo suggest kuwa weakness kubwa ya Lema ni elimu ndogo. Kama ungekuwa umeenda shule ungejua role ya Mbunge ni kuprovide leadership na usingekuwa hujui kuwa leadership haihusiani na kiwango cha elimu cha mtu.Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi..... Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans. Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
hajakosea,kwani amechaguliwa kwa ajili hiyo(kuchafua hewa)hata kule bungeni kuna hewa nzito sana kutokana na vitu anavyo achia.problem ni nani anafaidika na kazi yake hii aliyojipa(ya kuchafua hewa)nafikri hajajitambua uzito wa nafasi yake ktk jamii.ajirekebishe na afanye kazi kwa ajili ya wana arusha si kuchafua hewa kila anapopata nafasi ili kujipatia umaarufu bazoka.(cheap popularity)
Hakuna "embattled Meya wa Arusha." Embattled mayor ni mayor aliyechaguliwa lakini amekumbwa na matatizo au kashfa baada ya kuchaguliwa. Gaudence Lyimo sio "embattled mayor" kwa sababu Arusha hakuna mayor.