Mh. Betrice Shelukindo amgeuka Mh.Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Betrice Shelukindo amgeuka Mh.Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Laurence, Jul 18, 2011.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu usemi usemao walimpiga mchungaji kondoo wakatawanyika unaanza kutimia sasa.
   
 3. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Patamu hapo. Kuna mengi tutayasikia. Uzuri wake at the end of the day magamba wooote wanapaswa wang'atuke.
   
 4. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  alichoongea Mh. Betrice Shelukindo kuhusu Sita niukweli mtupu aanze yeye kuwajibika kwakuwa swala la Richmond lilizimwa na Mh sita, sasa sahivi anageuka na kujifanya mzalendo kweli? huu ni usanii wa sita ambao utamfikisha pabaya. alijifanya anatetea chama kisidhalilike sasa ukweli unaanza kuwaumbua, walimkumbatia Lowassa na wenzake wakasahau ni sehemu ndogo sana katika taifa hili.
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wana ccm tumpuuze huyu babu sitta kwani anachokifanya sasa ni giliba zaKisiasa tu na si vinginevyo.ingekuwa ni vizuri sana kama mheshimiwa raisi akamtimua kwenye baraza la mawaziri
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu tutona meng kabla ya 2015
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kazi kwenu wana CCM
   
 8. L

  Losemo Senior Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukistaajabu ya Musa utayaona ya.............. Sikutegemea siku moja Sita atakuwa mtu kigeugeu kiasi hiki. Mwanzoni nilidhani hata akichukua form ya urais ningempa kura yangu lakini kwa sasa nasema sina hamu naye kabisa. Simuelewi anatetea serikali au anaunga mkono upinzani. Neno linasema Uwe moto au baridi, Ukiwa vugvugu nitakutema kinywani mwangu.
   
 9. F

  Fataki Senior Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Inaitwa 'Menopausal Syndrome'....lakini naona unamdhalilisha au kumbagua 'kijinsia' dada wa watu. Mjadili tu kwa anayofanya lakini sio kwa mabadiliko ya kifiziolojia yanayotokea mwilini mwake kama mwanamke!
   
 11. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  Hope na mke wa Lowassa naye alikuwemo kwenye hiyo Safari.
   
 12. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hafai, ni mnafiki tu wa kisiasa.
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bwana Fataki kama ukikumbuka vizuri bunge la tisa huyu mama alikua kambi moja na Sitta,Lembeli,Mwakyembe na wengine weng lakn kwa bunge hili la kumi ndio haswaaa uswahiba wake Lowassa unakua,so ipo hivyo Fataki tunaweka kumbukumbu sawasawa
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba mamvi anakula mzigo?
   
 15. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hadi kufikia 2015 basi sijui ni nani atabakia!manake leo nimesoma kwenye Mwananch kuwa Mtikila anampigia debe Sumaye na Warioba kuwa ndio wasafi!mmh kazi ipo kwa kweli
   
 16. K

  Kalambo Junior Senior Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli mkuu,yaan sita ni mnafki ambaye alikuwa na bado anayo ajenda yake ya siri.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hao wana bifu na Six. Pamoja na kuwa mamvi alishamrejesha Beatrice Shellukindo kwenye kundi lake la walafi lakini nanusa harufu ya uchonganishi kwenye hizo sources
   
 18. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jibu hoja wewe au nape kakutuma nini? Watu tunajadili mambo ya msingi hapa wewe unaleta ushabiki wa kifisadi hapa?
   
 19. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Shelukindo focuses to E.L presidency since the T.B JOSHUA predicted.
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hili halina ubishi maana mmiliki wa hivi vyombo sote twamjua vema
   
Loading...