Mh. Betrice Shelukindo amgeuka Mh.Sitta

alichoongea Mh. Betrice Shelukindo kuhusu Sita niukweli mtupu aanze yeye kuwajibika kwakuwa swala la Richmond lilizimwa na Mh sita, sasa sahivi anageuka na kujifanya mzalendo kweli? huu ni usanii wa sita ambao utamfikisha pabaya. alijifanya anatetea chama kisidhalilike sasa ukweli unaanza kuwaumbua, walimkumbatia Lowassa na wenzake wakasahau ni sehemu ndogo sana katika taifa hili.

Ukiona marafiki wanaanza kufanyana kitoweo wao kwa wao ujue utu umetoweka na unyama na ubinafsi umeingia,. Kujikanyaga na kujichanganya kwa CCM hakuwezi puuzwa na wasoma alama za nyakati kuwa it's over. Leo uko huku kesho uko kule nani atakuelewa na lazima utaonekana umepwaya na huna msimamo na watu watasema hawa wanagombana wenyewe kwa wenye na '" SASA TUWANYANGANYE ILI WAKOSE WOTE" Huku ndiko tunakoelekea na tunamwomba Mungu ili CCM waendelee kujichanganya hadi watoto wadogo wawacheke na kuwadharau. Ukiona Mume anamkimbiza mkewe hadi mtaani ujue ndoa ilishavunjika siku nyingi na kilichoko hapo ni jina tu. Hivi ndivyo CCM ilivyo kwa sasa.
 
Guys,
Wana siasa wanatupotezea muda. We have not spared time to think about addressing critical development issues for ourselves and our nation. It is high time now we forget about politicians, once and fo all. Hawa wanasiasa wanaendeshwa na njaa hawana msaada wowote kwetu....tufikirie sasa ni njia ipi tutumie kujenga maisha yetu yawe bora bila wanasiasa hata ikibidi kuwa na taa za generator kila nyumba.
 
Nani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?

Sitta anaweza kuwa na mapungufu na hata unafiki wa hali ya juu, lakini sidhani kama Beatrice Shellukindo ana moral authority ya kumkashifu Sitta. Huyu mwanamama alikuwa kwenye kundi moja na Sitta hadi pale Lowassa 'alipomnunua'. She is a cheap politician who stands for nothing expect her stomach. Na huu usanii wa ulokole is a just cover-up for her moral failures. Na hii nchi inekwenda mrama kwa sababu ya wanasiasa uchwara kama Beatrice Shellukindo.
 
Nani? Beatrice Shellukindo mpambanaji toka lini? Mpambanaji ambaye siku nyingi ni chanda na pete na Lowassa? Mpambanaji ambaye, bila aibu, anaendesha kampeni Bungeni kusema Lowassa ni chaguo la Mungu? Mpambanaji ambaye alimsindikiza Lowassa Nigeria kwa maombi maalum ya Urais?

Kifaa cha EL nini!mpaka Nigeria wameandamana! au keshaahidiwa uwaziri mwsaka 2015 km EL ataukwaa ukulu?
 
Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
6 anasitaili kubeba zigo wote tunakumbuka aliuzima mswada bungeni kwanini? Atumie majukwa kujisafisha wakati yeye alikuwa jikoni leo ananza chakula hakijaiva pilipili imezidi huu ni unafiki wanannchi tusiwe wasahaulifu hawa dawa yao ni kuwazomea kwenye majukwa watabadilika
 
  • Thanks
Reactions: FJM
sitta anaweza kuwa na mapungufu na hata unafiki wa hali ya juu, lakini sidhani kama beatrice shellukindo ana moral authority ya kumkashifu sitta. Huyu mwanamama alikuwa kwenye kundi moja na sitta hadi pale lowassa 'alipomnunua'. She is a cheap politician who stands for nothing expect her stomach. Na huu usanii wa ulokole is a just cover-up for her moral failures. Na hii nchi inekwenda mrama kwa sababu ya wanasiasa uchwara kama beatrice shellukindo.

samwel sitta ni sehemu 75% ya tatizo la jk since day 1 mwaka 2005, ukianza uchimvi chimvi chinichini halafu publicly unajifanya uko na wenzako. Jk ameingizwa chaka sana na mzee huyu, kwanini tunaingia ktk mtego wake wa kinafiki akitaka eti na yeye akumbukwe ktk historia.......kwa lipi? Ameifanya hoja ya umeme kuwa legevu just because of chip and dirty politics zake.....failure ya jk chanzo ni huyu mzee. Hawa wanaomgeuka sasa ni product ya dhambi ya mzee huyu.
 
Alisema Lowassa siku ile anaachia ngazi: Tukianza kutafutana humu Bungeni kuna wakubaki? Maraha yote ya WABUNGE sasa hivi kayaanzisha na kuyasimamia SITTA. Nyumba alizokuwa anakaa DOdoma na Dar zote zilipangishwa kwa dola 8000 kwa mwezi. Juzi alipoonjeshwa Uwaziri Mkuu bungeni akawarudi kwa nguvu wapinzani. Beatrice kama tulivyo baadhi yetu tunamwona Sitta kama mnafiki wa kutupwa. Hapa hatujagusia CCJ.
 
Aliyekua kambi moja ya wapambanaji ni Shellukindo HE na wala sio Beatrice.
Bwana Fataki kama ukikumbuka vizuri bunge la tisa huyu mama alikua kambi moja na Sitta,Lembeli,Mwakyembe na wengine weng lakn kwa bunge hili la kumi ndio haswaaa uswahiba wake Lowassa unakua,so ipo hivyo Fataki tunaweka kumbukumbu sawasawa
 
Ukiona marafiki wanaanza kufanyana kitoweo wao kwa wao ujue utu umetoweka na unyama na ubinafsi umeingia,. Kujikanyaga na kujichanganya kwa CCM hakuwezi puuzwa na wasoma alama za nyakati kuwa it's over. Leo uko huku kesho uko kule nani atakuelewa na lazima utaonekana umepwaya na huna msimamo na watu watasema hawa wanagombana wenyewe kwa wenye na '" SASA TUWANYANGANYE ILI WAKOSE WOTE" Huku ndiko tunakoelekea na tunamwomba Mungu ili CCM waendelee kujichanganya hadi watoto wadogo wawacheke na kuwadharau. Ukiona Mume anamkimbiza mkewe hadi mtaani ujue ndoa ilishavunjika siku nyingi na kilichoko hapo ni jina tu. Hivi ndivyo CCM ilivyo kwa sasa.
Mkuu, unachonena ni kweli kabisa, siasa za watu wasiyo kuwa na msimamo kwasasa hazina nafasi tena, jana ulisema hdiyo leo unasema hapana, kiukweli umma hauwezi kukuamini ama kukuheshimu ndiyo yanayo mkuta sita kwa tamaa zake na kuusahau ukweli.Tuwaacheni wahukumiwe kwa uongo wao maana siku zote muosha huwoshwa
 
Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na adha ya umeme wachukuliwe hatua wakati huohuo Mh Shelukindo amesema Sitta alikua sehemu ya tatizo na angeanza kuwajibika yeye kwanza,nawasilisha ba ndugu,source: Jambo leo na Mtanzania
Nampa pole sana MH Mrs Shelukindo. Jipe moyo mama maadamu umechagua uovu na ukaikana haki,aibu yako ikomlangoni kwako nauzao wako utajuta kuzaliwa nawe,kwani kilio cha taifa kimemfikia Mungu.Haki huinua Taifa mseme Sitta uwezavyo,Ila Watanzania wataendelea kumheshimu siku zote.kwani inaonyesha hujuwi kati ya kazi za Spika na waziri wa nishati kwa siku zote ulizokaa bungeni.
 
Dah sita angejua heshima aliojijengea kwa wananch asingefanya anayoyafanya naamin usemi kwamba humanbng is most dangerous in this world.dah huyu ni most dangr bongo.anangata na kupuliza..
 
samwel sitta ni sehemu 75% ya tatizo la jk since day 1 mwaka 2005, ukianza uchimvi chimvi chinichini halafu publicly unajifanya uko na wenzako. Jk ameingizwa chaka sana na mzee huyu, kwanini tunaingia ktk mtego wake wa kinafiki akitaka eti na yeye akumbukwe ktk historia.......kwa lipi? Ameifanya hoja ya umeme kuwa legevu just because of chip and dirty politics zake.....failure ya jk chanzo ni huyu mzee. Hawa wanaomgeuka sasa ni product ya dhambi ya mzee huyu.

Sikatai kuwa Samweli Sitta na matatizo lakini kitu ambacho sikubali ni kuwa Beatrice Shellukindo ana usafi wa kumkosoa Sitta. She is just as bad!

Hoija ya Sitta kwamba ndio sababu matatizo kwa JK since day 1 2005?.... interesting!
 
Alisema Lowassa siku ile anaachia ngazi: Tukianza kutafutana humu Bungeni kuna wakubaki? Maraha yote ya WABUNGE sasa hivi kayaanzisha na kuyasimamia SITTA. Nyumba alizokuwa anakaa DOdoma na Dar zote zilipangishwa kwa dola 8000 kwa mwezi. Juzi alipoonjeshwa Uwaziri Mkuu bungeni akawarudi kwa nguvu wapinzani. Beatrice kama tulivyo baadhi yetu tunamwona Sitta kama mnafiki wa kutupwa. Hapa hatujagusia CCJ.

Huyu Sitta huyu si ndiye alienda kujenga ofisi ya Spika kule jimboni kwake Urambo au? Sasa ameingia kwenye kambi mojawapo ya kuusaka urais kupitia CCM!! Si umemsikia kwenye maandamano?
 
CCM taabani sijui mwenyekiti wao yupo wapi achukue hatua, naona EL bado anatunisha misuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom