aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035
whatever the case mwaJ, im convinced u must be good in your own way. At least im convinced u
are not plain, u r having a chocolate color and nice potable figure. correct me please. . .
Preta Preta duuuh!!!!!. Hiyo nadhani ni browning. Lakini kabla hujaamua kuiimiliki lazima uwe na uhakika kama ni muhimu hivyo kuwa nayo. usivutiwe na sura yake tu. La pili kuhusu mchakato wa kupata leseni unaanza baada ya kuinunua. Na maduka yako mawili tu kama unataka mpya. Baada ya kuinunua ndio unaanza utaratibu wa kuimbea leseni nipm nikupe utaratibu wake.
Haaa! There are some truth in what you've just said! Atleast you are about 20% right! haha ha ha haaaa! Mpaka nimeangalia pembeni kulia na kushoto isije kuwa unaniona. Lol!
Let me be a gentleman. Your wish my command madam! Im out!
View attachment 56296
asiyejua maana haambiwi maana
aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035