Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
shost ulijua nini? vp mzima wewe?
.......Humu kuna Madokta na Madakta.
But me sijambo mamito,
Napumulia gesi tu hapa na muda si mrefu nitaanza kutembelea Limu.
shost ulijua nini? vp mzima wewe?
.......Humu kuna Madokta na Madakta.
But me sijambo mamito,
Napumulia gesi tu hapa na muda si mrefu nitaanza kutembelea Limu.
hee, kulikoni tena mum!
asante my shem, lakin mie cna maumivu ya aina yoyote isipokuwa mguu wa kulia unautegea wa kushoto. hautaki kuonesha ushirikiano. afu hiyo Rhumatism ndo nini?
Jana nilikesha juu ya kaunta mamito.
basi hapa roho yakaribia kuachana na mwili.......
ntajaribu kufatilia uketiji wangu, mh sina hata ki-baby walker mkuu!!!!!
Jana nilikesha juu ya kaunta mamito.
basi hapa roho yakaribia kuachana na mwili.......
pole mum! usikeshe week days bana. . .
Rheumatism au rheumatic is a none specific term for medical problems .
Affectin the joints, mifupa na baadhi ya viungo mf. Mgongo , shoulder, wrist , leg, knee, ankle , hip , achilles pains .
Na mostly huathiri due cold wheather, but nirudie kaulimbiyu yangu to seek medical advice it's only remained the solution (Compulsory).
Hajakununulia tu? Mf. .hakupendi walah vile, yan unapuyanga bado?
hahahaa,taratibu mkuu. . . tutanunua tu!
hali zenu wadau,
leo ni siku ya tatu nahic mguu wangu wa kulia unakosa nguvu. unakuwa kama unakufa ganzi hivi, nikitembea unakuwa mzito kweli ila hauumia kabisa. je kuna ambaye anaweza kujua hili ni tatizo gani?
Mmm. . .harakisheni bhana, asikutembeze kwa miguu. . .
Mmm. . .harakisheni bhana, asikutembeze kwa miguu. . .
Itabd nije nikufanyie masaj. Au sio charminglady?
Itabd nije nikufanyie masaj. Au sio charminglady?
Mmmmh !
Ma , ma , ma , masa,
masaji .
Sijui kwa nini samtaiymzi napatagwa na ki, ki, ki , kigu, gu , mizi ?
ee , e , eti
kwa , kwa, kwanini?
ni pm na babu yangu fundi atakutatulia tatizo
we hujui ni kipindi cha mvua hiki?