Mguu wangu! Huu ndio udhaifu wangu kwake

Hebu jiamini na ujikubali kwanza coz ukifanya hivyo hata uwe na kasoro gani kwako kitaonekana nikitu cha kawaida.. Then umjuze mpenzio kama anakupenda ataikubari hali yako, ikiwa ni kinyumechake basi atakuwa hakupendi
 
tell her the truth. the earlier the better!
 
Huwezi ficha tatizo lako milele ndg
yaani unakipara utakifichaje?
Anayekupenda kwa dhati hilo si tatizo.
 
Kama umempenda na anakupenda hakuna shida yoyote kukubali.

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, they are very easy to comprimise situations especially on physical appearance of the men.

Kuna wanaume hawana hata macho(Born blind) lakini wameoa mabinti wazuri ile mbaya. Sembuse wewe na kovu la jeraha la moto mguuni?
umenikumbusha shemeji yangu mmoja yeye alizaliwa mzuri hana ulemavu, mwaka 2004 alihitimu shahada yake ya kwanza ya uhandisi hapo FOE. mwaka 2005 akiwa kazini kama graduate engineer alipata ajali ya kuungua moto uliosababishwa na rejeta ya gari kuchemsha na ilikuwa ni hiace zile ambazo rejeta hukaa chini ya siti ya abiria. aliungua mwili wote huyu kaka. uso wote na mwili wote ukawa makovu kabisa yaani uzuri wote aliozaliwa nao ukapotea kwa makovu.

huwez kuamini alioa mwaka 2010 alioa mke mzuri ajabu na mpaka leo wanaishi maisha ya raha na hakuna anayeona ajabu kwa yeye kua na makovu ya moto na mkewe haoni shida kabisa na wamezaa watoto wazuri ambao wanaipamba nyumba yao.

swali la kujiuliza hivi wewe mtoa mada kama hilo kovu lingekuwa usoni ungefanyeje??
 
Wakuu ni matumaini yangu mko poa.
Mimi ni mvulana miaka 20 niko chuo. Nimepata ajali ya kuungua na moto kwenye mguu wa kushoto nilipokuwa na umri wa miaka mitano na kusababisha mguu wangu kupoteza mwonekano wake wa kawaida . Ninachomshukuru Mungu ni kuwa una uwezo wa kawaida kama mguu mwingine wa kawaida!

Mguu huu umeniathiri kisaikolojia kwani sipendi watu wauone imenifanya mahali popote niendako nivae viatu au sandal na soksi .

Wakuu nimempata nimpendae kwa dhati na natumaini na yeye ananipenda sana ila hajui juu ya huu mguu wangu . Wana jf inaniuma sana kwani sina comfidence kwake kwa kuwa nashindwa kuwa free na juu ya hili nahisi nikimwambia anaweza niacha na nampenda sana. NIKO SERIOUS JUU YA HILI JE NIFANYE NINI?

Nikajua ni ule mguu mfupi unao ning'inia..
 
we mkaka kwanza jikubali mwenyewe then ukubaliwe na wengine. sioni sababu ya kuficha mguu wako kwa kuvaa soksi na sandal? piga pensi bana sasa kama unauficha mguu sisi tutauonaje? lol................
 
Acha, umbumbula ww! akikupenda kakupenda asipokupenda atapata sababu ya kutokukupenda tu!

ila unasoma au unaendekeza michezo ya ajabu ajabu tu. Soma kwanza dogo ohoooo
 
Diamond wanasema ana domo na pia hajui kizungu, lakini si unaona mademu wanavyompapatikia!
Siku akikupa chacharika mnyonye afu mpotezee, uone atakavyotishia kujiua.
 
Wakuu ni matumaini yangu mko poa.
Mimi ni mvulana miaka 20 niko chuo. Nimepata ajali ya kuungua na moto kwenye mguu wa kushoto nilipokuwa na umri wa miaka mitano na kusababisha mguu wangu kupoteza mwonekano wake wa kawaida . Ninachomshukuru Mungu ni kuwa una uwezo wa kawaida kama mguu mwingine wa kawaida!

Mguu huu umeniathiri kisaikolojia kwani sipendi watu wauone imenifanya mahali popote niendako nivae viatu au sandal na soksi .

Wakuu nimempata nimpendae kwa dhati na natumaini na yeye ananipenda sana ila hajui juu ya huu mguu wangu . Wana jf inaniuma sana kwani sina comfidence kwake kwa kuwa nashindwa kuwa free na juu ya hili nahisi nikimwambia anaweza niacha na nampenda sana. NIKO SERIOUS JUU YA HILI JE NIFANYE NINI?

the beautful one is not yet born hujafa hujaumbika sote tunatembea tuwalemavu viungo vyetu vya mwili kila mtu anakotafutia riziki yake ndpo ulemavu wake ulipo so hata usijali cku moja fanya surprise nenda umevaa open shoes halaf mwambie akuvue aone then ucheki response yake kwa alichokiona utajua kama kwel anakupenda
 
Uckurupuke 2 kumwambia hakikisha unachill nae sehem 2liv, ukimwambia atakuelewa 2 na km kweli anakupenda haita kuw problem kwake. jiamin 2, hakuna binadam aliyekamilika au waswahili husema hujafa hujaumbika. ikitokea amekumwaga usijali wapo weeeeng sana mabint, coz u a still yong.
 
Wakuu ni matumaini yangu mko poa.
Mimi ni mvulana miaka 20 niko chuo. Nimepata ajali ya kuungua na moto kwenye mguu wa kushoto nilipokuwa na umri wa miaka mitano na kusababisha mguu wangu kupoteza mwonekano wake wa kawaida . Ninachomshukuru Mungu ni kuwa una uwezo wa kawaida kama mguu mwingine wa kawaida!

Mguu huu umeniathiri kisaikolojia kwani sipendi watu wauone imenifanya mahali popote niendako nivae viatu au sandal na soksi .

Wakuu nimempata nimpendae kwa dhati na natumaini na yeye ananipenda sana ila hajui juu ya huu mguu wangu . Wana jf inaniuma sana kwani sina comfidence kwake kwa kuwa nashindwa kuwa free na juu ya hili nahisi nikimwambia anaweza niacha na nampenda sana. NIKO SERIOUS JUU YA HILI JE NIFANYE NINI?
By Ngauyase.
kwani yeye kapenda mguu au kakupenda wewe? Je kama ungekukuwa hauna hlo tatzo halafu ukaja kulpata mkiwa kwenye ndoa atakuacha? Jiamini. Wewe mweleze mapema ili ujue mapema asije kukupotezea mda wako buree.
 
Usijiskie vibaya, nami nikiwa nasoma niliwahi kumshangaa binti mmoja alokuwa na kovu la kuungua mkononi. Mahali lilipo, angeweza kulificha lakini hakuwa wa hivyo. Nilimuona mara kadhaa akivaa blouse zenye mikono mifupi kabisa inayoonyesha wazi lile kovu. Hakuwa na wasiwasi na alijichanganya vizuri na wenzake hata wakati flan nilihudhuria kitafrija flan na akatoka mbele pamoja na wenzake kucheza huku kovu likionekana. Pia kuna brother nilisoma naye A'level, yeye mguu ulilipukiwa na baruti hivyo kubaki na kovu kubwa pamoja na kuharibika kiasi shape ya mguu. Jamaa sijawahi kumuona akiuficha mguu wake. Kwa sasa ni baba na familia yake. Miaka 20 na uko chuo, bilashaka atakukubali kama ulivyo kama kweli anakupenda. lakini akikata sasa ni bora sana kwako, na wala haitamaanisha kuwa utakataliwa na wanawake wote.
 
Wakuu ni matumaini yangu mko poa.
Mimi ni mvulana miaka 20 niko chuo. Nimepata ajali ya kuungua na moto kwenye mguu wa kushoto nilipokuwa na umri wa miaka mitano na kusababisha mguu wangu kupoteza mwonekano wake wa kawaida . Ninachomshukuru Mungu ni kuwa una uwezo wa kawaida kama mguu mwingine wa kawaida!

Mguu huu umeniathiri kisaikolojia kwani sipendi watu wauone imenifanya mahali popote niendako nivae viatu au sandal na soksi .

Wakuu nimempata nimpendae kwa dhati na natumaini na yeye ananipenda sana ila hajui juu ya huu mguu wangu . Wana jf inaniuma sana kwani sina comfidence kwake kwa kuwa nashindwa kuwa free na juu ya hili nahisi nikimwambia anaweza niacha na nampenda sana. NIKO SERIOUS JUU YA HILI JE NIFANYE NINI?

Makubwa!kwani niugonjwa huo?kama atakuacha basi atakuwa chizi na hajui kama atayeye anaweza patwa na lolote mda wote.jiamini kama anakupenda yy atakuwa wakwanza kukupa nguvu yakujiachia
 
Back
Top Bottom