Mguu wa honey faith

Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
Honey+Faith.jpg

haya mkuu sura yake hiyo hapo japo kapicha ka zamani kidogo
 
Weka picha mkuu wa huo mguu tuone kama ni mguu kweli uliokuchanganya
 
Honey Faith unaitwa huku na Mende msafi.
hahaha mkuu nimekwambia naogpa we ndo umeaua kumwita kabisa..! kuna kipindi kama miezi ya 8&9 tulikuwa tunapishana humu jf kwa karibu sana nikawa namwangalia nikajukuta nampenda tu....sijui kwa nini ila najitahidi kui'ignore' hii hali
 
Aah jirani lazima niwe mkali kidogo....

Na akijifanya kuja nyumbani bila adabu ntamsakizia bobby amng'ate

Happy 2017 to you....

Hahaa jirani acha ukali dadaako mwenyewe anafurahia.

Happy New Year to You Too.
Fireworks wapi..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom